tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Do you have any other repitable pred source apart from imf?2.7% is pathetic for a country which had no lockdown .
Do you have any other repitable pred source apart from imf?2.7% is pathetic for a country which had no lockdown .
IMF 2021 data. Don't you know how to read.Takwimu umetoa wapi ndugu.?.. au Mnataka shebby awasameh.?
Kijana wa Tandale, organised residential areas nimeona Nairobi hadi nikachoka. Hiyo sehemu pakavu ni pa kumpa nani orgasm wakati tumezoea mandhari tulivu kama hizi in gated communities?Kama Iyumbu City imekupa orgasm namna hii je ukiuona mji wa kiserikali Mtumba c utalia kabisa![]()
99% loansHata after a lockdown, kenya is still killing it. Kenya - gross domestic product (GDP) 2026 | Statista
Before the pandemic, 2021 gdp was projected to be 109bill
Now official numbers are 106 billion with a 7.6% growth rate.
View attachment 1802165
Jamaa tushamjuaUnafikiri mtanzania akija nairobi anaenda wapi except downtown? Huko ndio wanakutana na wale dungu na dada zao ombaomba wa downtown Nairobi wakajuane hali angalau. Si wajua wale ombaomba wao wamevamia yale maeneo kama nzige? They can't venture beyond Tom Mboya street kuingia Moi Avenue and beyond. Nazi ni kuzurura Nyamakima, OTC, River Rd na maeneo kama hayo kisha wanarudi zao Dar then wanajiamisha wamefika Nairobi
Secondly, everything is cheaper in downtown, from food to accommodation and everything. Apige picha akiwa Sarova Stanley ndani tuone coz nayo ipo cbd

anakimbilia downtown kw sababu hko ndio bei za vitu nkm kule kwao uswazi middle class..Hta wewe ukija nai utakomea downtown

si nyie maisha yenu ya kiubwete ubwete basi utakomea hko alafu urudi dar ukajisifie km ukifika nairobiDon't get twistedKijana wa Tandale, organised residential areas nimeona Nairobi hadi nikachoka. Hiyo sehemu pakavu ni pa kumpa nani orgasm wakati tumezoea mandhari tulivu kama hizi in gated communities?
View attachment 1802166View attachment 1802167View attachment 1802168View attachment 1802169View attachment 1802171View attachment 1802172View attachment 1802173View attachment 1802174
Pandeni angalau nyasi kwenye hilo eneo ndio mje kwenye meza ya mazungumzo!
GDP hailipi loansKijana wa Tandale, organised residential areas nimeona Nairobi hadi nikachoka. Hiyo sehemu pakavu ni pa kumpa nani orgasm wakati tumezoea mandhari tulivu kama hizi in gated communities?
View attachment 1802166View attachment 1802167View attachment 1802168View attachment 1802169View attachment 1802171View attachment 1802172View attachment 1802173View attachment 1802174
Pandeni angalau nyasi kwenye hilo eneo ndio mje kwenye meza ya mazungumzo!


. Alaf hawa wabunge wenu walipita wakajionea wenyewe mambo, skiliza comments zao hapa 👇
Linganisha hiyo blog na hii list ya Forbes kisha urudi. Angalia ni jiji lipi limeshikilia nafasi ya 12 kwenye hiyo list ya miji chafu duniani
Mazee..yani vijumba vya kipuuzi kweli eti kule kwao ndio wanajengwa kw ajili ya kukuza mjiWanasiasa unafiki ndo sifa zao, dodoma vinyumba vya uswazi ndo real estateunajua kenya kuna cities ngapi zinajengwa wewe
![]()
Don't get twisted
Hiyo iyumbu satellite city kwa hizo quality za nyumba kwa huko Kenya ni very expensive lakini FYI hizo nyumba zote tayari zipo booked (nitakuwekea video) na ukiambiwa zimeuzwa bei gani kwa pesa ya Kenya ni very cheap
So hizo sio dream houses wala wealthy neighborhood kibongobongo
Dream houses za Dodoma ni kama hizi hapa, ambazo saivi zinajengwa kama uyoga huko Dodoma
Turkana offices, hakuna jipya hapo
Yani zile cheap houses zinawafurahisha sana kisa wamepata angalau kasehemu kamepangwa kiasi. Alafu eti ni project ya serikali! Hizo unaweza linganisha hata na zile affordable houses ambazo serikali zinajenga huku Kenya?Mazee..yani vijumba vya kipuuzi kweli eti kule kwao ndio wanajengwa kw ajili ya kukuza mji
Hii kweli ni mtumba 😂 😂 😂Huu ni mji wa kiserikali Mtumba kazi inaendeleaView attachment 1802146View attachment 1802147View attachment 1802148View attachment 1802149
Huyu usishangae analala kwenye zile guest houses za River road that have been run over by commercial sex workersJamaa tushamjuaanakimbilia downtown kw sababu hko ndio bei za vitu nkm kule kwao uswazi middle class..
Kuanzia accomodation mpka vyakula na madanguro
Umeongea kwa uzalendo sana. About dirty cities, umeangalia hii list ya Forbes ukajua Dar inashikilia naafasi ya ngapi hapa duniani?Ngoja nikuibie Siri mzee nix 😂😂😂 Kariakoo (kk) huwa ni chafu lakini kwa uchafu huo 😂😂😂 hapana kwakweli, hakuna mji wowote Tanzania wenye CBD chafu kama hapo kwenu, kitu kingine ni aina ya magari 😂😂 nyie wajamaa ni maskini wa kutupa, huwezi Kuta hayo magari Dar hata siku moja, kama yalikuwepo labda ni 90s ..