Don YF
JF-Expert Member
- May 24, 2014
- 11,111
- 10,547
Breathtaking beautiful, ukweli usemwe tu๐๐ชMbeya ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ
View attachment 1792550
Arusha ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ
View attachment 1792549
Breathtaking beautiful, ukweli usemwe tu๐๐ชMbeya ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ
View attachment 1792550
Arusha ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ
View attachment 1792549
Lamu munafungua 1 bearth miaka 10
Wakat mtwara ina 2 bearth under construction๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐๐๐๐ Total three now
Badala ya kulia Lia humu na wewe kaa mkao wa kupiga pesa kama huwezi kaa kimyaHii awamu watu watapiga sana hela,naona mkwere na waarabu wake meno yote nje..
Lamu munafungua 1 bearth miaka 10
Wakat mtwara ina 2 bearth under construction๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐๐๐๐ Total three now
WhateverWhy purchase?? Mwengine anasema muna ndoto ya electric car au alijua hio ni githeri?๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Ndio maana nilimuelewa hata madam president SSH alivyosema kama kuna rasilimali kwenye mbuga au else where zianze kuvunwa maana kwa muongo mmja ujao by 2035 mali ardhi nyingi zitaisha thamani yake kutokana na teknolojia mpya.In 10 years mafuta itakua imepungua bei sana due to modern ways and emerging of electric cars and motors
MY TAKE
Wondering what position will Rwanda (26,338 kmยฒ) or Burundi (27,834 kmยฒ) occupy as they r not even in top 10!




Zote hizo hazina uhakika ,zingekuwa ni deal ungekuta investors wameshakuja kitambo kama kwenye gold na gas na oilsUzuri tuko na the largest deposits za nickel na ghaphite na izo rare earth minerals zingine kwaiyo tuta mitigate if that happens
Tatizo ni bei ,bei inaweza kuja kuwa chini kuliko gharama za uzalishaji sasa hapo itakuwa useless kama makaa ya maweMzee mafuta unadhani kazi yake ni kuendeshea kagari pekee!?
KAZI YANGU ULIIKIMBIA.
Mlipomrudisha Rostam mlikaa mkao wa kuliwa sehemu gani? Acha mihemko chapa Kazi au na wewe tafuta stake ule kama una ubavu badala ya kulia Lia kama mtoto mitandaoLugumi anarudi kivingine watanzania tukae mkao wa kuliwa Lugumi anarudi kivingine watanzania tukae mkao wa kuliwa
mambo ya lugumi
Tumaini letu kubwa lipo kwa Mzee wetu majariwaView attachment 1792137








tumaini lenu,mnasubilia nini kulipa Urais hili tumaini? Hesabu maumivu hadi 2030Huyo alikuwa anapendelea kwao nani kakwambia kwamba ni lazima amalizie hiyo reli,fine inaweza kujengwa but sio kwa pace ya kuhamoshia bajeti nzima kwenye mradi 1,hakuna mtu atafanya huo ujinga wa mwendazake.From a visionary man who saw it before anyone else akajenga kipande cha mwisho so that whoever comes after him has to finish it for the project to make sense.
Nenda kadanganye wanakibera wenzako huko. Unajua 1kg ya coal ni how much!?Tatizo ni bei ,bei inaweza kuja kuwa chini kuliko gharama za uzalishaji sasa hapo itakuwa useless kama makaa ya mawe
Weka linkMasikini wa Tz world bank inapima na kigezo cha kuishi chini ya $0.9 na anapata fukara 28million ndani ya Tanzania., Kenya wanapima na $2.99, wanapata 20 Million., fikiria sana semi illiterate, fikiria
.,
Tatizo ni bei ,bei inaweza kuja kuwa chini kuliko gharama za uzalishaji sasa hapo itakuwa useless kama makaa ya mawe
Kule Njombe,Mbeya,Ruvuma nk kumekuwa na reserve za hiyo coal kwa miaka ya kuzidi lakini no investor hadi sasa.Nenda kadanganye wanakibera wenzako huko. Unajua 1kg ya coal ni how much!?
Mabaki ya coal baada ya kuchomwa hutumika kutengeneza gypsum.
Coal ash zinamatumizi mengi mno.
Nenda shule kwanza siyo kuropoka kama mpumbavu vile.
Mzee hatuuzi national resources kipumbavu pumbavu kama nyie.Kule Njombe,Mbeya,Ruvuma nk kumekuwa na reserve za hiyo coal kwa miaka ya kuzidi lakini no investor hadi sasa.
Kama ni deal kihivyo kwa nini hawaji badala yake wanakimbklia kwenye mafuta,gold na gas?
hapo kwenye cement production kuna kitu kinaitwa fly ash zinazotokana na uchomaji wa lignite ku-generate power!