Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Dar tunaijua πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚usipoteze data tena..,
View attachment 1792486
Modern developed area ni less than 5% of 1500 sq kmπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., Kwingine kwote ni ushuziπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.,
Leta tu vipicha zile angle nzuri nzuri ya kujitekenya ufurahi na wewe leoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, unalia sana siku hiziπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Picha ya mwaka 2007 🀣🀣🀣 hata CBD haijajengeka ipasavyo watu hawajajenga panavotakiwa wewe unatuletea picha imepigwa umbali wa km 50 🀣🀣🀣🀣 are u even serious ??? Au ni hasira

Angali hii picha iko very near nn unaona hapa πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
AE7CD6FC-74A4-4836-AC97-B84576A56B5B.jpeg
 
Barabara sasa munawakabidhi wachina na munawakibidhi kina naniπŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡

Tujionee mapovu sasaπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ ambayo hamutaziona jamii forum

Unapata tabuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚lia kabisaa makosa sip yangu Kenya kukua above you foreverπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., bro kulikoniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.,
 
Nionyeshe mmebeba container ngapi leoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., mimi sijasema yetu ni ya umeme wala kupinga yenu, wewe unaweka maneno kwa mdomo yanguπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., umechanganyikiwa mapema sanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.,
Kwa hilo usijal πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Unapata tabuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚lia kabisaa makosa sip yangu Kenya kukua above you foreverπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., bro kulikoniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.,
🀣🀣🀣🀣 mm siliii wanaolia hawa hapa πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Barabara sasa munawakabidhi wachina na munawakibidhi kina naniπŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡

Tujionee mapovu sasaπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ ambayo hamutaziona jamii forum

Unapata tabuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚lia kabisaa makosa sip yangu Kenya kukua above you foreverπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., bro kulikoniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.,
Above ya wapi ?baada ya kuwapa wachina barabara sasa national parks πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

utasema huyu kakosea πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Mm nilijua hawapokei msaada 🀣🀣🀣 japan imetoa rushwa ili wapitishe vitu vyao bila kodi kenya πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† na rushwa zenyewe ndio hzi

Hutaskia wakiongelea vitu hvi jamii forum πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ Loss ya kwanza BBi naomba niitaje kua ya kwanza 14b ksh

Zile 14b ksh za BBi zilizoliwa si wangewapa hawa wakendelea na kusoma 🀣🀣🀣
 
20
Picha ya mwaka 2007 🀣🀣🀣 hata CBD haijajengeka ipasavyo watu hawajajenga panavotakiwa wewe unatuletea picha imepigwa umbali wa km 50 🀣🀣🀣🀣 are u even serious ??? Au ni hasira

Angali hii picha iko very near nn unaona hapa πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡View attachment 1792503
Hapo ☝️naona tu Nairobi old CBD,
hapaπŸ‘‡ni the whole Dar CBD 2021!
Screenshot_20210514-145319.png

unapinga nini wewe! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., what meaningful progress is there anyway to change the Dar landscape?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., uswazi ndio umeongezeka maradufu, watu wengi wamebeba vijiji akilini mwao wamekuja na kumwaga mjini DarπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.,ndio maana Dar 90% inafanana na village, maisha ya kishamba kila konaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., CBD inajaribu angalau kuficha aibuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., no middle na lower middle πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., harakisha sgr muendelee kupunguza aibuπŸ˜œπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.,
 
20

Hapo ☝️naona tu Nairobi old CBD,
hapaπŸ‘‡ni the whole Dar CBD 2021!
View attachment 1792511
unapinga nini wewe! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., what meaningful progress is there anyway to change the Dar landscape?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., uswazi ndio umeongezeka maradufu, watu wengi wamebeba vijiji akilini mwao wamekuja na kumwaga mjini DarπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.,ndio maana Dar 90% inafanana na village, maisha ya kishamba kila konaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., CBD unajaribu angalau kuficha aibuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., no middle na lower middle πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., harakisha sgr muendelee kupinguza aibuπŸ˜œπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.,
Baada ya kuzoom morogoro road ndio hiii sasa πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Tanzania kwa millionares huiwezi kwa middle class huiwezi, kwa lower milldle huiwezi kitu mutaishinda tanzania ni slums na watu wake hilo tu 😁😁😁😁😁😁😁😁😁

mzungu kaona slums za dunia nzima ila hakuona dar pekee au????πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
0AC2515F-9EE7-4EC8-97F6-3BDB652F7079.png
4DC38990-9244-4DC8-AE05-81A1BFB439B4.png
9D0DBDEA-25D5-4E03-976B-705496202FCF.png
 
14 billion haikutumika kilaza, ilikua imepangiwa.,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
So zile kampeni walikua wanafanya bure na kuwahonga wale mp’s na governors pia ilikua bure πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… au walikuwa wanatumia mawe

Don YF njoo basi don wakiorabangi vitu kama hvi unaeza tuonesha πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡

Siwezi waonyesha, macho hamuna, masikio hayasikii, akili zimeganda unatakaje dogoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., amuambiliki chochote wala kuona mnacho onyeshwa, nyie vilaza punguani(majority here)πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., nyinyi ni wa ku ni entertain tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., wengi wenyu hamuna chochote for any meaningful discussionπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.,
 
Baada ya kuzoom morogoro road ndio hiii sasa πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Tanzania kwa millionares huiwezi kwa middle class huiwezi, kwa lower milldle huiwezi kitu mutaishinda tanzania ni slums na watu wake hilo tu 😁😁😁😁😁😁😁😁😁

mzungu kaona slums za dunia nzima ila hakuona dar pekee au????πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
View attachment 1792512View attachment 1792513View attachment 1792514
Pia mimi nimeona mido class standards za TzπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, asante, no more tafadhali, nime tiiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ‘nimekubali πŸ˜‚,
 
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ ngoja tuone twitter inasemaje

Baada ya kuzoom morogoro road ndio hiii sasa πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Tanzania kwa millionares huiwezi kwa middle class huiwezi, kwa lower milldle huiwezi kitu mutaishinda tanzania ni slums na watu wake hilo tu 😁😁😁😁😁😁😁😁😁

mzungu kaona slums za dunia nzima ila hakuona dar pekee au????πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
View attachment 1792512View attachment 1792513View attachment 1792514
Sasa haya mazingira gani ya kujivunia,,ona venye uswazi unafanana,,mabati yameoza,,hakuna tofauti na slums πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Pia mimi nimeona mido class standards za TzπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, asante, no more tafadhali, nime tiiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ‘nimekubali πŸ˜‚,
Middle class ziko sehemu nyingi sana dar hata mikocheni mbezi ni middle class, upnga ni middle sasa tunapoongelea umaskini na maskini wenyewe

tukiwapimisha ratio ya maskini wa kenya na tanzania ambao ndio wengi tutapata majibu gani???πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

slums zinamilikiwa na serekali na zimebeba 70% ya nairobi nzima sasa hapa tunashindana nn 😁😁😁😁😁

Hao hao 70% hawana ndoto ya kumiliki chakula achana na ardhi haya tukitoka hapo twende kwa wale bedsitter munaowaita middle class πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ wale wanakwenda speed ya kutafuta pesa ya rent na uji ndoto ya ardhi na nyumba

sasa wale matajiri nataka kuona nyumba walizojenga kwa kutumia ndoto zao au nyumba wanazotaka wao ukipata hio nitag bro πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Back
Top Bottom