Don YF
JF-Expert Member
- May 24, 2014
- 11,112
- 10,550
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇👇 ngoja tuone twitter inasemaje
Opinion vs opinion
Na watanzania wanasemaje pia, lazima ni ji entertain humu😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇👇 ngoja tuone twitter inasemaje
Kwani tandale mwanzo mulikua munaionaje sasa hvi je?? Munahamu ya kuiongelea sasa kesho naenda yombo kaa mkao wa kula nataka kuamini ww na mzungu nani anaakili zaidi🤣🤣🤣🤣🤣Sasa haya mazingira gani ya kujivunia,,ona venye uswazi unafanana,,mabati yameoza,,hakuna tofauti na slums 😂😂
Ushago in the city😂😂😂😂.,Sasa haya mazingira gani ya kujivunia,,ona venye uswazi unafanana,,mabati yameoza,,hakuna tofauti na slums 😂😂
Rudi kwenye mada kwanza 🤣🤣🤣👇👇Opinion vs opinion
Na watanzania wanasemaje pia, lazima ni ji entertain humu😂😂😂😂😂View attachment 1792526
View attachment 1792527
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇👇 ngoja tuone twitter inasemaje
Na tandale je ilikua wapi ushagoo kesho naenda yombo sasa tukaamini kwann mzungu sio mjinga 🤣🤣🤣🤣Ushago in the city😂😂😂😂.,
Masikini wa Tz world bank inapima na kigezo cha kuishi chini ya $0.9 na anapata fukara 28million ndani ya Tanzania😂😂😂😂., Kenya wanapima na $2.99, wanapata 20 Million., fikiria sana semi illiterate, fikiria 😂😂😂😂😂😂.,Middle class ziko sehemu nyingi sana dar hata mikocheni mbezi ni middle class, upnga ni middle sasa tunapoongelea umaskini na maskini wenyewe
tukiwapimisha ratio ya maskini wa kenya na tanzania ambao ndio wengi tutapata majibu gani???😀😀😀
slums zinamilikiwa na serekali na zimebeba 70% ya nairobi nzima sasa hapa tunashindana nn 😁😁😁😁😁
Hao hao 70% hawana ndoto ya kumiliki chakula achana na ardhi haya tukitoka hapo twende kwa wale bedsitter munaowaita middle class 😄😄😄 wale wanakwenda speed ya kutafuta pesa ya rent na uji ndoto ya ardhi na nyumba
sasa wale matajiri nataka kuona nyumba walizojenga kwa kutumia ndoto zao au nyumba wanazotaka wao ukipata hio nitag bro 😀😀😀😀😀😀
😂😂😂Sasa wataelewa sababu ya Kenya kuwa superpower hapa East and central Africa,,Kuna mtu anasikia kukupiga eti umewajuza vya Kenya😂😂😂😂.,vanatamani haungepost hii taarifa😂😂😂 Maendeleo left right n centre with covid challenges.., wengine hawakufunga lakini wapi!!😂😂😂😂.,
😂😂😂Sasa Tanzania GDP bado inatapatapa kule chini,,nyi bado Sana😂😂Subiri wajenge alaf ongea sasa 🤣🤣🤣 munaji race sana tulieni leo tanzania inawapeleka mputa mputa 😆😆😆😆😆 miaka 10 iliopita sio nyinyi mulikua munaitukana tanzania leokimy
Tz ilishaingia middle income toka mwaka jana sasa wewe unatuletea hadithi za zilipendwa na za alinacha ongea facts mzeeMasikini wa Tz world bank inapima na kigezo cha kuishi chini ya $0.9 na anapata fukara 28million ndani ya Tanzania😂😂😂😂., Kenya wanapima na $2.99, wanapata 20 Million., fikiria sana semi illiterate, fikiria 😂😂😂😂😂😂.,
Na kenya debt to GDP ratio ni??…….🤣🤣 leo muna privatize national parks sasa😂😂😂Sasa Tanzania GDP bado ni
90% ushago wewe kelele mingi rudisha vijiweni kule unakoamkia kila siku😂😂😂😂.,Na tandale je ilikua wapi ushagoo kesho naenda yombo sasa tukaamini kwann mzungu sio mjinga 🤣🤣🤣🤣
Taken 15km from cbd😂😂😂 Nairobi scrapers si mchezo,inaumiza watu sana
😂😂😂😂😂Semi illiterate, since muingie LOWER middle income, pale kwa mkia dogo to be specific, bado world bank hawaja release any data, what is there ni ile ya 0.9$., wakati corona ilikua ndio imeanza, so tuambie wangapi wamepanda kutoka hiyo 28million, na vyuma vilikua vimekaza mkijaribu kushindana na Kenya ilhali mna uchumi hafifu, sasa mliiumbuliwa na CAG.,😂😂😂😂.,Tz ilishaingia middle income toka mwaka jana sasa wewe unatuletea hadithi za zilipendwa na za alinacha ongea facts mzee
Hata tukija kwenye inflation rate tanzania iko chini easta africa nzima unategemea maskini hatakua na ndoto ya kujenga 🤣🤣🤣 wakat ardhi kigamboni is about 2m to 5m
Na ni old CBD tu kwa hiyo picha, hii👇👇 ya Dar ni CBD yote!, mwanzo mwisho😂😂😂 kisha ushuzi kachukua ushukani kuendelea kujaza 1500 sq km 😂😂😂😂😂.,Taken 15km from cbd😂😂😂 Nairobi scrapers si mchezo,inaumiza watu sana
Fact: Story ni hii, jamaa wa boda boda wa KE anamaisha poa kukushinda wewe! 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Alaf ikawaje hebu tupe stori 😄😄😄😄😄
Kwa hilo usijal 🤣🤣🤣👇👇👇
Kajilipiua 😁😁😁😁😁Pia mimi nimeona mido class standards za Tz😂😂😂😂😂😂, asante, no more tafadhali, nime tii😂😂😂😂😂👏👏👏nimekubali 😂,