Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Uhuru is all alone, neither South Sudan's Kiir nor Ethiopia's Ahmed is there....si mbadili jina toka LAPSSET to LAPIST (Lamu port Isiolo Transport corridor) ? Mbona mnajiangaisha na ndoto za mchana?

Halafu mzee mu7 yuko TZ kushuhudia utiaji saini wa ujenzi wa pipeline 😀
 
Mkeka
FB_IMG_1621531184338.jpg
 
kwann Magu kaondoka, na mambo ya vifo vya corona hazipo tena?.. wale mapadri hawavai barakoa tena
Hilo swali lilishawahi kuulizwa na member mmoja humu Jf, ni kwamba vitu vipo wazi kwamba Africa ni sehemu ya upigaji kwa westerners na pia wanaotumiwa ni waafrika wenyewe a.k.a punda, ilikuwa kila siku humu humu Jf hukosi kusikia mtu anasema wamezika watu, wengine wanaongopa mpk ndg zao wamekufa lakini cha kushangaza waliokuwa wanakufa ni watu wa mtaani kwao tu, na ndugu zao, lengo lilikuwa kumtoa kwenye reli mzee wa watu na kumpa stress ikiwezekana afe waendelee na upigaji so lengo lao limetimia huwezi kusikia hizo habari tena.
 
Magu ni rais aliyeishi mazingira magumu sn ktk uongozi wake sidhani kama alipata wasaa wa kufurahia urais wake, alikuwa na stress mno, akizubaa tu watu wanataka kupiga akigeuka huku presha toka kwa wenye dunia, yn maisha yake yalikuwa magumu mno mwache akapumzike, kuna mkenya mmoja humu amewahi kusema ndiyo maana Magu akaamua kuwaachia hiyo shit hole
 
hata wale wastaafu wawili hasa wa kutoka bukoba kule twitter siwasikii tena
 
Magu ni rais aliyeishi mazingira magumu sn ktk uongozi wake sidhani kama alipata wasaa wa kufurahia urais wake, alikuwa na stress mno, akizubaa tu watu wanataka kupiga akigeuka huku presha toka kwa wenye dunia, yn maisha yake yalikuwa magumu mno mwache akapumzike, kuna mkenya mmoja humu amewahi kusema ndiyo maana Magu akaamua kuwaachia hiyo shit hole
Acha uongo mzee, wakati wa magu upigaji ulikithiri sana..
 
Back
Top Bottom