Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ksh. 95 Milli.... From 50 bob savings
Katumia miaka 50😆😆😆 inamaana nyumba kaipata baada ya miaka 50 ama??😁😁😁 Na ujana wake kwisha sasa anasubiri siku ya kufa huku watoto na wajukuu wakitazama nyuma ya urithi ama??? Bado ndugu na jamaa
 
Nmerudi kama mzimu
E1x0N2hXoAc_m7J.jpg
 
Katumia miaka 50😆😆😆 inamaana nyumba kaipata baada ya miaka 50 ama??😁😁😁 Na ujana wake kwisha sasa anasubiri siku ya kufa huku watoto na wajukuu wakitazama nyuma ya urithi ama??? Bado ndugu na jamaa
Ni sacco wacha uboya, alafu usibishane vitu hujui. Si una net, ka tafute huko mwenyewe... 😂
 
Katumia miaka 50😆😆😆 inamaana nyumba kaipata baada ya miaka 50 ama??😁😁😁 Na ujana wake kwisha sasa anasubiri siku ya kufa huku watoto na wajukuu wakitazama nyuma ya urithi ama??? Bado ndugu na jamaa
Jamaa waongo sana,yaani bodaboda let say kaanza na miaka 25 aki-save ksh 50 daily ili apate ksh 95 mill inaweza kumchukua zaidi ya miaka 1000 ...
 
Staki fujo, kama huelewi nazungumzia nini, tulia na ule kitimoto taratibu.. 😂
"From an initial daily savings of Ksh. 50, boda boda operators in Nanyuki town, Laikipia County, became the proud house owners in a project worth Ksh. 95 million."

NB;waendesha boda boda wa huko wanapiga miradi kama hii? 😂
Acha uwongo bwana ksh 50 to ksh 95 mill..!!!!???? We akili yako inafanya kazi kweli??!
 
Jibu swali kiambu lini imekua nairobi?? 🤣🤣 na aliengiza kiambu ndani ya county ya nairobi nani??? 😁😁😁😁😁 simamia kwenye swali kwanza
Twende pole pole school dropout, hii ndo maana ya metropolitan, soma ukielewa niquote tuendelee na somo.😂😂😂
IMG_20210520_105254_864.jpg
 
Back
Top Bottom