Hizi ni ofisi sio ama? Na Gerezani ni nini?Ikikamilika hii Wakenya mtalia..Ubungo View attachment 1791316BRT station
Hizi ni ofisi sio ama? Na Gerezani ni nini?
Stop embarrassing yourself
mama yupo bize na Covid.....akikaa kimya katika hili nitamuona zoba.. akilikemea nitamuona ana akili na anajali
Stop embarrassing yourself
Au ndo wewe huyo..!!!?Kujadili nguo za mwanaume mwenzako ni usenge 🙄🙄 na ukicheza atakuoa😁😁😁
Umeona tanesco wanavyozingua siku hizi yaani umeme unakatika kama tupo Lagos..enzi za jiwe mambo haya hayakuwepo nilinunua umeme juzi asubuhi nimepata jana saa 10 jioni...mama anawabembeleza,hawa watu ni kuwakazia tumama yupo bize na Covid.....
kwa upande mwingine nao Tanesco kuzhaanza mizinguo
Can't you see the guy is all aloneme or your roads management authority?
Mpuuze amafyatuka akili😂😂😂😂😂.,
Maliza mada kwanza alaf ingia kwenye swali lako 🤣🤣🤣 sasa tumeelewa kwann wakenya wengi kumiliki ndoto nairobi ni ndoto ya alinacha 😅😅😅😅Twende pole pole maana ya metropolitan nini haswa😂😂😂
Nani asiependa kumiliki ardhi nairobi ?? Nani hapendi?? Ww usijifanye hutaki wakat unataka 80% ya wanairobi wanatamani kumiliki ardhi nairobi lakini ni ndoto itabakia usingizini 🤣🤣🤣🤣🤣Basi una uwezo huo wakununua plot kw hayo maeneo ambayo yameunganishwa kw metro au ni mbwembwe tu
Jibu swali kiambu lini imekua nairobi?? 🤣🤣 na aliengiza kiambu ndani ya county ya nairobi nani??? 😁😁😁😁😁 simamia kwenye swali kwanzaLazima tukufunze😂😂😂, je unamjua huyu ni naniView attachment 1790794
🤣🤣🤣👇👇👇👇👇 rudi kwenye mada kwanza kila county inamgao wao kila county ina kiongoz wake kila county ina bunge lake kila county ina member of parliament au mm nasema urongoooo😁😁😁😁😁Km imeachwa kuitwa central province tu ndio ije ishindwe kuitwa nairobi metro
Ama ndio kupanic umepanic, kenya tunaijua wenyewe na ndio manake hatukua na magavana na sasa wapo pia metro vile vile ipo..we kalielie chato makaburini huenda kilio chako kitasikika![]()
Hii awamu watu watapiga sana hela,naona mkwere na waarabu wake meno yote nje..



ni noma