ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Unitag vile vile 😀😀😀😀😀Weka link
Unitag vile vile 😀😀😀😀😀Weka link
Wewe unafkiri hzi rasli mali amabzo leo unazishuhudia zingetumiwa vibaya na wazee waliopita leo zingekuwepo??? Au ww unaangalia tumbo lako huangalia miaka 30 ijayo utakua kwenye hali ganiNdio maana nilimuelewa hata madam president SSH alivyosema kama kuna rasilimali kwenye mbuga au else where zianze kuvunwa maana kwa muongo mmja ujao by 2035 mali ardhi nyingi zitaisha thamani yake kutokana na teknolojia mpya.
Angekuwa yule backward president Jiwe angesema eti watatumia vizazi vijavyo,sijui mda na teknolojia vitakuwa vinawasubilia hao vizazi au laa.
Mbaya zaidi hao wanaoitwa kizazi kijacho wasipoyengenezewa mazingira rafiki kwa kutumia rasilimali saizi hakuna kitu watafanya maana watazaliwa kwenye jamii fukara na wataishia kuwa mafukara hivyo hivyo
Sasa world bank walikosea ama 🤣🤣👇👇Mkuu report iko kwa website ya world bank, report ya 2020;
View attachment 1792702
View attachment 1792703
View attachment 1792711
Vigezo walizotumia ni LDC $1.9, Lower mido income ambayo kwa sasa wataanza kutumia kwa Tanzania ni $3.2, na upper middle income kama akina SA ni $5.5, Sasa mtu akiona eti Kenya below poverty line ni 40% ana fikiria hiyo below poverty line ni same na below ya Tz by then, but kwa sasa watapima kwa pamoja at $3.2 since Tz joined lower mido income.,
View attachment 1792705
My take; Mimi kama a researcher, siwezi kukubali eti 28 million Tanzanians ni fukara wa kutupwa kama vile world bank wanavyo dai., ama eti 40% people living below poverty line (ya $3.2) Kenya ni masikini wote la, I don't accept, poverty is relative ukifanya forensic audit ya poverty across Africa utapata waafrika wako sawa sana., kukosa pesa haimaanishi mtu ni masikini ki hivyo., bei ya commodities pia ni nafuu kiasi ukilinganisha, mashambani pia maisha iko nafuu sana ata kama mtu hana hela, siwezi kuongelea Tz, alafu leo mtu anakosa Kesho anapata, so sio standard., Umasikini upo lakini hatuwezi kufuata hizi data for conclusions. Hapa ni debate tu na kupondana, yaani battle sio uadui.
kenyannews.co.ke
nairobitimes.co.ke
mcmnt.com
Tanzania kwishaaarais keshasema barakoa ndio habari ya mjini...labda afe basi ndio aje mwngine ambae atakataa uvaaji wa barakoa km marehemu

Sai bongo ni mwendo wa mabarakoa
In Magufalas voice, "Maana hakuna namna nyingine."
Kilaza katika ubora wakeSasa world bank walikosea ama
Ongea taratibu plz bila hasira kuna wagonjwa humu plz plz
View attachment 1792784
![]()
Kenya Worse Than Zimbabwe in Extreme Poverty - World Bank
Zimbabwe has 23 percent of its population living in extreme poverty.www.kenyans.co.ke
Homepage
Kenyan News - online daily post newspaper on latest world, Africa, Kenya news. Today top, breaking news on local & national scene. Videos, Photos. Kenya television (TV) stations live stream, Listen to Kenya radio stations live online. News on: politics, entertainment, business, technology...kenyannews.co.ke
![]()
Kenya Worse Than Zimbabwe in Extreme Poverty – World Bank
Kenya has been ranked as the third poorest lower-middle-income country globally according to the latest report released by the World Bank titled State of Economnairobitimes.co.ke
![]()
Kenya Worse Than Zimbabwe in Extreme Poverty - World Bank Report » MCMNT
Kenya has been ranked as the third poorest lower-middle-income country globally according to the latest report released by the World...mcmnt.com
View attachment 1792790

Nionyeshe mbunge wowote yule nchi yyte duniani amabae anawakilisha metroNijibu basi NMS ni county ?? Mbona sijawah sikua kuna mbunge wa NMS bungeni?? Sijawah sikia NMS ina gavana ???
sisi tunazungumzia hiii
View attachment 1792771View attachment 1792772

Kumbe unaumizwa na huyu mwambaNijibu basi NMS ni county ?? Mbona sijawah sikua kuna mbunge wa NMS bungeni?? Sijawah sikia NMS ina gavana ???
sisi tunazungumzia hiii
View attachment 1792771View attachment 1792772

Hta kenya bungeni hawavaiMbona hatuvai sasa ???Kwisha ukimaainisha ??? Mbona bungeni hawavai kwann??

Mpk leo bado unatumia wikipedia as ur source?ichoboy01 dar levels zake bujumbura, nataka leo nikutoe matongotongo, kilaza mkubwa wewe
Yani unaumizwa na kenya sana mzee kumbeView attachment 1792896

leo lazima zitakukaa sawa tu
Msaidie mwenzako pleaseMpk leo bado unatumia wikipedia as ur source?![]()

View attachment 1791734
PANGANI INTERCHANGE IN NAIROBI......I just my city in the sun...halafu sasa kuna hi nairobi express way itakuwa moto wa kuotea mbali. Watanzania hoyee

Jua kali typeSemi illiterate kazi yako nilimaliza😂😂😂😂😂😂., hautowai niambia chochote ever😂😂😂😂😂😂, hauna uwezo wa ki fikra😂😂😂😂., heri ufyate tu, if I engage u right now utatapatapa tu humu😂😂.,Sasa world bank walikosea ama 🤣🤣👇👇
Ongea taratibu plz bila hasira kuna wagonjwa humu plz plz 😄😄😄😄
View attachment 1792784
![]()
Kenya Worse Than Zimbabwe in Extreme Poverty - World Bank
Zimbabwe has 23 percent of its population living in extreme poverty.www.kenyans.co.ke
Homepage
Kenyan News - online daily post newspaper on latest world, Africa, Kenya news. Today top, breaking news on local & national scene. Videos, Photos. Kenya television (TV) stations live stream, Listen to Kenya radio stations live online. News on: politics, entertainment, business, technology...kenyannews.co.ke
![]()
Kenya Worse Than Zimbabwe in Extreme Poverty – World Bank
Kenya has been ranked as the third poorest lower-middle-income country globally according to the latest report released by the World Bank titled State of Economnairobitimes.co.ke
![]()
Kenya Worse Than Zimbabwe in Extreme Poverty - World Bank Report » MCMNT
Kenya has been ranked as the third poorest lower-middle-income country globally according to the latest report released by the World...mcmnt.com
View attachment 1792790
Sheria kandamizi za aliye ahela MagufalaMagufala![]()
IchofalaSemi illiterate kazi yako nilimaliza., hautowai niambia chochote ever
, hauna uwezo wa ki fikra
., heri ufyate tu, if I engage u right now utatapatapa tu humu
.,