Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hebu nijibu swali kiambu ni county sio county??? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] alaf twende taratibu manake naona kama presha inakupanda bure tu
Jibu swali, NMS ana bajeti au hana? Twende mdogo mdogo mzee[emoji1787][emoji1787]
 
Ww hutakan kumiliki ardhi nairobi ?? Hebu jibu na ww tuskie [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] au ndoto huna kabisa basi hata nidanganye unataman au hutaman

mm hua sipindishi mada mm hua nanyooka mazima tatizo munanichukia bure tu[emoji28][emoji28]
Sina mda huo wa kuwaza ili eti nikaishi nairobi[emoji23][emoji23]
We kwn wataka kuishi nairobi?
 
Si kuna wageni wamekuja kutoka uganda au ni namna gani ??[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwhyo unakataa km sai watu wanavaa barakoa[emoji1787][emoji1787]kw lile kongamano je, nako kulikua na wageni wa kutokea wapi?
 
NASA satelite images at night
east africa at night.jpg
 
mkuu yanasaidia sana haya.. hilo eneo hakuna taa.. mnaweza kuparamiana hasa usiku.. kuna siku nilikuwa naendesha saa kumi usiku/asubuhi ndo nikaona umuhimu wake.. ase watu wako fasta hio barabara
hivi wataweka taa kweli hapo maana hiyo road yahitaji taa za kutosha la sivyo ndinga zitakuwa zikivaana
 
Drinking some sweet cold beer while Watching Live Azam FC Vs Biashara United maeneo fulani Jijini Daslamu, Jiji la Maraha
When does the Premier League Matches in poor Kenya take place?
I have no Idea,
This is Azam Fc Stadium in Dar,
View attachment 1791971View attachment 1791972View attachment 1791973View attachment 1791974View attachment 1791975View attachment 1791976View attachment 1791977View attachment 1791978View attachment 1791979
Azam is going to FALL!

Mark my words. Magufuli amekufa so hakuna there is no money to launder for the company.
 
Electric cars kufika africa weka miaka 200 mbele sio leo wala kesho 🤣🤣🤣🤣
That's where you wrong in kenya they have started kenya power is on the progress to build charging stations in all major highways, we already have several guys who have bought electric cars and we have a taxy company similar to uber which all their cars are electric Kenya Power to rollout electric car charging stations
 
Jibu swali, NMS ana bajeti au hana? Twende mdogo mdogo mzee[emoji1787][emoji1787]
Nms ni county ??? Nms ina mbunge ?? NmS in gavana? NMS iko chini ya serekali ya kenyatta 🤣🤣🤣🤣🤣 akili kichwani mwako

munalazmisha sukari iwe chumvi ??😄😄
 
Back
Top Bottom