Lamu munafungua 1 bearth miaka 10
Wakat mtwara ina 2 bearth under construction🤣🤣🤣👇👇👇👇 Total three now
Mkuu report iko kwa website ya world bank, report ya 2020;Weka link
Lamu munafungua 1 bearth miaka 10
Wakat mtwara ina 2 bearth under construction🤣🤣🤣👇👇👇👇 Total three now
Already tunazo sasa sielewi unacho cheka ni nini🤣🤣🤣🤣🤣 narudia kukwambia hvi ndoto ya kuitoa mafuta kwenye soko la africa subiri miaka 200 mbele, mumeshindwa ku electrify white elephant mutaweza electric cars au munafkiri ni kama kula githeri
sasa kama wameonyesha hiyo inaweza kuwa PR!Nimeona ktk vyombo vya habari vya Kenya meli aliyoipokea Uhuru Kenyatta lamu ya uzinduzi Jana ikitokea bandari ya Dar.acheni kujikweza tutakula sahani moja.
Naona huyo anakuumiza kichwa snaa, mbona unamchukia sana mazedKwamba CAG ndiye anayefanya miradi ya nchi![]()
Hyo highway mbovu bana, ukweli usemwe yani imekaa kifalambwenga hta si standardDada kitu kiko under construction ushaanza kukiponda,wivu wa kikunya utakuua wewe
Mbona unalialiaNms ni county ??? Nms ina mbunge ?? NmS in gavana? NMS iko chini ya serekali ya kenyattaakili kichwani mwako
munalazmisha sukari iwe chumvi ??![]()

naona wembe umekata ini ndio manake unapiga kelele..

Vipi ule mpango wako wa kununua plot katika maeneo ya nairobi metroHuna muda wa kubishana au huna ndoto ya kumiliki plot nairobi mbona kama unajitekenya hvi![]()


Tanzania kwishaaaKwan kikwete alikua havai barakoasasa waganda wanata muvae barakoa na ndio wageni wenu, utawafkuza ama???

rais keshasema barakoa ndio habari ya mjini...labda afe basi ndio aje mwngine ambae atakataa uvaaji wa barakoa km marehemuKila kitu kimeisha hapo 🤣🤣🤣 au nasema urongoooooTaken 15km from cbd😂😂😂 Nairobi scrapers si mchezo,inaumiza watu sana
Mbona hatuvai sasa ???😅😅😅 Kwisha ukimaainisha ??? Mbona bungeni hawavai kwann??🤣🤣🤣🤣Tanzania kwishaaarais keshasema barakoa ndio habari ya mjini...labda afe basi ndio aje mwngine ambae atakataa uvaaji wa barakoa km marehemu
Ww unayo ndoto ya kumiliki plot nairobi hebu ongea bila hasira tafadhali 🤣🤣🤣Vipi ule mpango wako wa kununua plot katika maeneo ya nairobi metro![]()
Nijibu basi NMS ni county ?? Mbona sijawah sikua kuna mbunge wa NMS bungeni?? Sijawah sikia NMS ina gavana ??? 🤣🤣🤣Mbona unalialianaona wembe umekata ini ndio manake unapiga kelele..
Jibu swali NMS hana bajaeti?
Pole sana mzee baba
Munazo zikwapi?? 🤣🤣🤣 SGR imewatokea puani itakua electric cars hio subiri 200 yrs to come, mark my wordsAlready tunazo sasa sielewi unacho cheka ni nini
Ndio ilitokea dar ikawa inaelekea oman 🤣🤣🤣👇👇👇👇Nimeona ktk vyombo vya habari vya Kenya meli aliyoipokea Uhuru Kenyatta lamu ya uzinduzi Jana ikitokea bandari ya Dar.acheni kujikweza tutakula sahani moja.
Mukibanwa kwenye ukweli munaaza kusema kelele nyingi mara kiswahili kingi tulia mzee urambe dawa 🤣🤣🤣🤣🤣 yani mzungu aone slums za dunia nzima asione ya dar kweli are u even serious 😃😃😃😃😃90% ushago wewe kelele mingi rudisha vijiweni kule unakoamkia kila siku😂😂😂😂.,