President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,052
- 93,442
Huyo tembo wa Lamu atapata malisho wapi asije anza watafuna nyie .Lamu County
View attachment 1762609
View attachment 1762610
View attachment 1762611
View attachment 1762613
View attachment 1762614
View attachment 1762616
View attachment 1762617
View attachment 1762618
View attachment 1762619
View attachment 1762621
View attachment 1762622
View attachment 1762623
View attachment 1762625
View attachment 1762626
View attachment 1762628
View attachment 1762629
View attachment 1762630
View attachment 1762631
View attachment 1762632
View attachment 1762633
View attachment 1762637
View attachment 1762638
View attachment 1762639
View attachment 1762641
View attachment 1762642
View attachment 1762643
View attachment 1762644
View attachment 1762646
View attachment 1762647
View attachment 1762649
"Mfumo dume, ujima, tabia mbaya, upeo mdogo" hii ni baadhi ya maoni yako juu yangu.
Nikupe shukran kwa kutumia vyema fursa yako ya kutoa maoni, lakini pia, sioni wapi unakwazika na fursa wanaochukua wenzio kutoa maoni yao.
Would you be kind enough and share with all of us whichever evidence at your disposal that I hate Samia due to her gender?
In this world, you will never come across anyone who agrees with you on everything - so, if you can't reconcile with opinions of others, no need of attacking their personalities- just move on peacefully.
Ukweli ni kuwa, Samia ameonesha ni mtu wa kuyumbishwa or one with no stand of her own.
Alisema, "haiwezekani, kwingine kote kuna numbers, Tanzania dash-dash-dash" akiongelea Corona.
Leo, Dunia inakubaliana na approach ya Magufuli dhidi ya Corona.
Labda kama una upeo mdogo wa kutambua kuwa, kama Corona ingeanza leo, angeua uchumi kwa kutuweka kwenye lockdown kama Kenya kwa style yake kuunda tume na kuangalia muda wote Dunia inafanya nini then you move into the bandwagon.
Mama huko twitter, kafollow accounts zote za Harris Kamala na Biden bila kufollow account ya Rais yoyote Africa, apart from Magufuli na Kikwete.
Katika hali ya kawaida, as a head of state, ni ujinga kufollow watu, hasa viongozi ambao hawakufollow or hawainta-act na wewe even on occassional basis.
Anasemwa or kukosolewa kwakua ni Rais, na si kwa uwanamke wake.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mzee unanipotezea muda. Kwenye barabara tumeshatoka. Nimekupatia hizo routes leta za kwenu za Kenya. Umekuwa mtu wa kulalamika tuuuuuuu!! Kama mjamzito.
hii kitulo ni noma
Amenikosha alipotoa jibu la wale wenye elimu ya kukariri kwamba kila taasisi lazima iongozwe na mtu alieyesomea fani husika. Kasema kuwa yeye hatafuti utaalam bali anatafuta uongozi. Period.Still wondering why JPM hakumchagua huyu jamaa kua makamu wa raisi...while huyu mwamba m99 kawatimua watu huyu wa kwetu jamaa wa tasac walilamba 600m+ kwa vikao kawasema tu ila kawaacha.
Nakubali. Mimi ni mjinga na wewe Opportunity Cost ni genius. Tena unaonekana kuwa mchumi mzuri kuliko mimi.Tulia wewe watu wafanye Kazi,nyie ndio wajinga ambao uwezo hamna ila mnataka 50/50 ambayo haitakaa uwepo
Mwingine anakwambia yabakie then itakuwa faida ya nani maana teknolojia inabadilika yanaweza kuishia kinyesi tuu baadae,wajao wasifaidike na wa sasa wasifaidike
Ndiyo maana kuna siku alisema viongozi hawaji tu, wanatengenezwa. The real Kings maker.2015 JPM alipendekeza majina mawili Hussein na Samia, Samia akaungwa mkono na wazee wengi. Ndiyo maana 2020 JPM alipambana Hussein awe Rais wa Zanzibar lengo kumfanya Hussein ajifunze kwa matumizi ya badae.
Barabara Izo zinajengwa kwa kiwango cha lami mara ya mwisho umepita lini uko?Hujui kitu wewe mbususu,kuanzia mpakani mwa Rukwa/Katavi all the way to Kigoma,Kigoma to Nyakanazi ni mavumbi with exceptions of few tarmacked road stretches
Umekaa huko Dar Tzn huijui,hii nchi nazunguka Sana kwa biashara
Uyo mmombasa apite uko liniBarabara Izo zinajengwa kwa kiwango cha lami mara ya mwisho umepita lini uko?