Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Thanks.

A very good observation.

Nitaweka silaha chini huko twitter kuhusu Samia na nitaongelea observation yako huko kwa wadau tumpe mda mama tuone.

Bro katika kitu ambacho kama waTanzania tunapaswa kufanya ni kumtia moyo huyu mama. Pia tumsaidie na kumpa ushauri wa namna bora ya kuongoza nchi. Yeye hakuamua kuwa rais, bali it's a nature ndiyo imefanya yote hayo.
 
Kwaiyo wamebakia na modern coast tuuu maana tahmeed ndio anatawala kule hamna anayemfikia kwa mabasi mengi Kenya kwa kule
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji205][emoji85][emoji90][emoji1139]
20210421_130650.jpg
 
mimi sijui nipoje, niliamini na naendelea kuamini every decision to taken by JPM. hakuna rais anapenda nchi yake isiendelee, especially JPM aliipenda sana nchi yake. ukiona ame delay ku take decision kwenye jambo ujue there is something bad
Hayo makampuni yalirudi nyuma baada ya JPM kufuta makubaliano ya awali na kutaka waanze upya kwa sharti la kwamba kila kampuni lije kwenye majadiliano na serikali kivyake na siyo kama Cartel. Na kwamba majadiliano yatumie sheria mpya za madini ambazo zinatuhakikishia kupata angalau 50% ya economic benefits.

Sasa huyu (kwa kweli sipendi kumtaja hata jina lake. Kwangu mimi kiongozi akikosa uzalendo nampiga chini hapo hapo) yeye kafanya hatua nne (4) ambazo kimsingi zimewafanya hawa investors kuvimba kichwa;

1. Kawaagiza members wa negotiation teams zetu wasiende "kuwatunishia misuli" hao wawekezaji maana sisi ndiyo "wahitaji'! Hapo investor yeyote mwenye akili anajua cha kufanya: kukaza. Funny

2. Kawaambia (negotiators wetu) kwamba yale ambayo investors wanataka na yako nje ya uwezo wao wayapeleke ngazi za juu yafanyiwe maamuzi. Mwenyewe kayataja, ikiwemo misamaha ya kodi! Pathetic.

3. Kamtengua mzalendo wetu namba moja kwenye sekta ya mafuta, gesi na madini; mkurugenzi wa TPDC Dr. Mataragio. Japo alimrudisha mara moja baada ya upepo kuchafuka lakini tayari alikwisha tuma ujumbe hasi kwa "watumishi wetu wazalendo" walioko ngazi za juu za maamuzi kwamba sasa hawana cover, trust, wala support kutoka juu.

Pia iliwapa nguvu investors kwa kujua kuwa tayari wana-deal na compromised government (tuki-assume kuwa hawakuwa nyuma ya hiyo kitu).

4. Kasema kuwa lazima mikataba isainiwe ndani ya miezi sita ijayo! Hivi kwa investor mwenye akili si atauma uzi kwenye terms zake, maana keshasikia sisi ndiyo wahitaji.

My take:

Hii serikali ina papara sana kwenye suala la madini. Inaonesha wapigaji (rejea ishu ya kitalu C Mererani, suala la mabilioni ya Uswisi & makampuni ya gas, nk) wamechoka kusugua benchi toka 2015 hivyo wana alosto kali na pengine wanahofia lisijekutokea la kutokea wakakosa tena.

Nawapa pole sana wale mnaoiamini hii awamu ya 6 kwenye ishu za madini na gesi. Mimi naendelea kujiuguza maumivu mapema.
 
Hivi kipindi cha JPM kuna kampuni yoyote inayotoa huduma za mawasiliano ilifanikiwa kubadilisha jina?

Mnakumbuka ule mchezo wa mitandao ya simu kubadilisha majina ovyo kwa mgongo wa kuuza kampuni?

(Hivi ile grace period ya miaka mitano bado inatolewa?) Sina hakika hapa!

Hivi unajua unaweza kuta hiyo kampuni iliyonunua Tigo na Zantel ndo hao hao wanapitia mgongo kama ule uliokuwa unachezwa na makampuni yanayotoa huduma za mawasiliano?

Niko tayari kusahihishwa na nitapokea masahihisho na mkono mmoja tena wa kulia ili mradi tu kusiwe na matusi [emoji4][emoji4][emoji4]

#UkwepajiKodi
Kampuni inayonunua ni tofauti kabisa. Tigo ni fond of law breaking na ubabaishaji kwenye uendeshaji wake na hivyo awamu hii tangia 2015 wamepigwa sana faini. Naamini ni moja ya sababu ilifanya host company kuamua kuiuza.

Hiyo ishu ya tax holiday kama tunaifanya tutakuwa wajinga maana sheria inatoa msamaha kwa biashara mpya na si mwekezaji/mmiliki mpya. Kama huwa wanapewa hizo holiday wanapouziana itakuwa kuna watu tu wanatuuza.
 
Hayo makampuni yalirudi nyuma baada ya JPM kufuta makubaliano ya awali na kutaka waanze upya kwa sharti la kwamba kila kampuni lije kwenye majadiliano na serikali kivyake na siyo kama Cartel. Na kwamba majadiliano yatumie sheria mpya za madini ambazo zinatuhakikishia kupata angalau 50% ya economic benefits.

Sasa huyu (kwa kweli sipendi kumtaja hata jina lake. Kwangu mimi kiongozi akikosa uzalendo nampiga chini hapo hapo) yeye kafanya hatua nne (4) ambazo kimsingi zimewafanya hawa investors kuvimba kichwa;

1. Kawaagiza members wa negotiation teams zetu wasiende "kuwatunishia misuli" hao wawekezaji maana sisi ndiyo "wahitaji'! Hapo investor yeyote mwenye akili anajua cha kufanya: kukaza. Funny

2. Kawaambia (negotiators wetu) kwamba yale ambayo investors wanataka na yako nje ya uwezo wao wayapeleke ngazi za juu yafanyiwe maamuzi. Mwenyewe kayataja, ikiwemo misamaha ya kodi! Pathetic.

3. Kamtengua mzalendo wetu namba moja kwenye sekta ya mafuta, gesi na madini; mkurugenzi wa TPDC Dr. Mataragio. Japo alimrudisha mara moja baada ya upepo kuchafuka lakini tayari alikwisha tuma ujumbe hasi kwa "watumishi wetu wazalendo" walioko ngazi za juu za maamuzi kwamba sasa hawana cover, trust, wala support kutoka juu.

Pia iliwapa nguvu investors kwa kujua kuwa tayari wana-deal na compromised government (tuki-assume kuwa hawakuwa nyuma ya hiyo kitu).

4. Kasema kuwa lazima mikataba isainiwe ndani ya miezi sita ijayo! Hivi kwa investor mwenye akili si atauma uzi kwenye terms zake, maana keshasikia sisi ndiyo wahitaji.

My take:

Hii serikali ina papara sana kwenye suala la madini. Inaonesha wapigaji (rejea ishu ya kitalu C Mererani, suala la mabilioni ya Uswisi & makampuni ya gas, nk) wamechoka kusugua benchi toka 2015 hivyo wana alosto kali na pengine wanahofia lisijekutokea la kutokea wakakosa tena.

Nawapa pole sana wale mnaoiamini hii awamu ya 6 kwenye ishu za madini na gesi. Mimi naendelea kujiuguza maumivu mapema.
Kwani unafikiri hali ilivyo saahii whistleblowers watakaa kimya!? Si umeona moto ulivyowaka Matarajio alivyotolewa? Hata Samia atakalishwa akienda sivyo!
 
😭😭😭
Msiba kwangu ulianza upya baada ya kusikia hiyo na. 1.
 
Back
Top Bottom