Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

unaweza kuta hayo makampuni mengine huko kenya yanamilikiwa na watanzania.. akina msukuma etc[emoji23]
Na pia vice versa, Hujui wakenya walio na makampuni huko! Tizama magical Kenya daring abroad, Utajua Hujui kitu kuhusu nchi yenyu. 😂 😂 😂
 
Hivi kipindi cha JPM kuna kampuni yoyote inayotoa huduma za mawasiliano ilifanikiwa kubadilisha jina?

Mnakumbuka ule mchezo wa mitandao ya simu kubadilisha majina ovyo kwa mgongo wa kuuza kampuni?

(Hivi ile grace period ya miaka mitano bado inatolewa?) Sina hakika hapa!

Hivi unajua unaweza kuta hiyo kampuni iliyonunua Tigo na Zantel ndo hao hao wanapitia mgongo kama ule uliokuwa unachezwa na makampuni yanayotoa huduma za mawasiliano?

Niko tayari kusahihishwa na nitapokea masahihisho na mkono mmoja tena wa kulia ili mradi tu kusiwe na matusi [emoji4][emoji4][emoji4]

#UkwepajiKodi
 
Mshikaji inaelekea una mawazo ya kiujima sana na in short unamchukia kwavile ni mwanamke na unaamini hataweza haha kabla ya kumpa muda hii ni tabia mbaya! Nadhani una mfumo dume halafu upeo mdogo! Kwa taarifa yako so far viongozi wanawake wameonyesha umakini zaidi.

"Mfumo dume, ujima, tabia mbaya, upeo mdogo" hii ni baadhi ya maoni yako juu yangu.

Nikupe shukran kwa kutumia vyema fursa yako ya kutoa maoni, lakini pia, sioni wapi unakwazika na fursa wanaochukua wenzio kutoa maoni yao.

Would you be kind enough and share with all of us whichever evidence at your disposal that I hate Samia due to her gender?

In this world, you will never come across anyone who agrees with you on everything - so, if you can't reconcile with opinions of others, no need of attacking their personalities- just move on peacefully.

Ukweli ni kuwa, Samia ameonesha ni mtu wa kuyumbishwa or one with no stand of her own.

Alisema, "haiwezekani, kwingine kote kuna numbers, Tanzania dash-dash-dash" akiongelea Corona.

Leo, Dunia inakubaliana na approach ya Magufuli dhidi ya Corona.

Labda kama una upeo mdogo wa kutambua kuwa, kama Corona ingeanza leo, angeua uchumi kwa kutuweka kwenye lockdown kama Kenya kwa style yake kuunda tume na kuangalia muda wote Dunia inafanya nini then you move into the bandwagon.

Mama huko twitter, kafollow accounts zote za Harris Kamala na Biden bila kufollow account ya Rais yoyote Africa, apart from Magufuli na Kikwete.

Katika hali ya kawaida, as a head of state, ni ujinga kufollow watu, hasa viongozi ambao hawakufollow or hawainta-act na wewe even on occassional basis.

Anasemwa or kukosolewa kwakua ni Rais, na si kwa uwanamke wake.

 
Kenya ishafilisika ni taifa la hovyo kuwahi kutokea Africa, billions zote hizi walichofanya nazo ni kupanua tumbo la uhuru 😅😅😅

[
EzkK4RjX0AMwzYw.jpg
]
 
Bado mna post this ugly thing from outside😅😅🤣😂., Kweli nimeona ni Tanzania!., nashangaaa😲😲.,
Just checking in after awhile! Nothing substantial so far, ni kelele tu humu.,
Acha kujifariji mzee hiki kituo ni kubwa na kizur kuliko kawaida
 
Wakishindwa huwa wanasema walijenga wao, hukumbuki TPA?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Alafu ikija battle ya many engineers bado wanakaa yn nilichogundua ni kwamba Kenya inatuzidi kutengeneza blue band tu basi na sio kitu kingine labda na madeni pamoja na wizi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Blue band ni product ya Uniliver mkuu, kenya is just a factory and cheap labour yaani vibarua
 
Blue band ni product ya Uniliver mkuu, kenya is just a factory and cheap labour yaani vibarua
Aliyesema ni ya Kenya si ni nyie wenye kuropoka? 😂 😂 😂

UNILEVER TANZANIA LIMITED is located in Dar Es Salaam, Tanzania and is part of the Wholesale Sector Industry. UNILEVER TANZANIA LIMITED has 160000 employees at this location.

Vipi hapo, hamna cheap labour, kudadadeki!!! 🤣
 
Aliyesema ni ya Kenya si ni nyie wenye kuropoka? 😂 😂 😂

UNILEVER TANZANIA LIMITED is located in Dar Es Salaam, Tanzania and is part of the Wholesale Sector Industry. UNILEVER TANZANIA LIMITED has 160000 employees at this location.

Vipi hapo, hamna cheap labour, kudadadeki!!! 🤣
Vipi mbona unanikimbia .? njoo unioneshe mji mzuri wenye nyumba kali za gharama kama huu wa fumba Znz 😂😂, karibu
 
Back
Top Bottom