Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,683
- 107,124
Nangoja povu la ugoro wa chang'aa!๐๐๐๐๐๐View attachment 1763027
Nangoja povu la ugoro wa chang'aa!๐๐๐๐๐๐View attachment 1763027
Why 2 weeks tho? Watu wengi wa tanzania wanafanya biashara na china. I expected myb 2 routes a week but it's just 1 route for 2 weeks? mbona kama naona it's a bad deal? Ama I'm I tripping?
Sasa umeona eh, hilo limetegezwa wapi. Wahindi wametegeza wenyewe kila kitu ndio maana wakaweka na jina lao mbele ya benz hata kama Benz is their subsidiary. In short, made in India not Germany.
View attachment 1762599
Kaskazini wangeweka chuma lenye urefu zaidi ya jengo hapo juu.
Kama sio kujenga ma sgr uchwara barabara zote zingekuwa lami sasa mikoa kibao ina vumbiKazi iendelee. ...Ipo siku1 barabara kuu zote zitakua lami
Tunduma-Mutukula kuanzia Katavi hadi kigoma ni matope tupu
Na unapiga kelele eti๐๐คฃ๐คฃ๐, interchange tatu nchi nzima!., Moja three level kienyeji Sana, a simple Criss cross., matako ya masikini yanalia mbwata๐คฃ๐๐๐Dar es Salaam tupo na interchange tatu done ambazo quality yake sio kawaida View attachment 1763162View attachment 1763163View attachment 1763164no 2 View attachment 1763165no 3 View attachment 1763166View attachment 1763167sasa ka mkubwa Kim Dawizzy nataka nikujuze kwamba miaka minne nyuma hatukuwa na interchange hata moja en boom we now have three interchange, n mbili zenye hadhi kama hiz zipo under construction soon zinaingia mzigoni, sisi jo nani.? ๐๐๐
Na unapiga kelele eti๐๐คฃ๐คฃ๐, interchange tatu nchi nzima!., Moja three level kienyeji Sana, a simple Criss cross., matako ya masikini yanalia mbwata๐คฃ๐๐๐Dar es Salaam tupo na interchange tatu done ambazo quality yake sio kawaida View attachment 1763162View attachment 1763163View attachment 1763164no 2 View attachment 1763165no 3 View attachment 1763166View attachment 1763167sasa ka mkubwa Kim Dawizzy nataka nikujuze kwamba miaka minne nyuma hatukuwa na interchange hata moja en boom we now have three interchange, n mbili zenye hadhi kama hiz zipo under construction soon zinaingia mzigoni, sisi jo nani.? ๐๐๐
Tunduma -Namanga Via Rungwa ni matope tupu kuanzia Makongolosi - Rungwa -Itigi hadi Singida ..
Conforting yourself,huyo matarajio mara ya ngapi anakoswa koswa mbona hata marehemu wenu alimtumbua na kumrejesha?Kwani unafikiri hali ilivyo saahii whistleblowers watakaa kimya!? Si umeona moto ulivyowaka Matarajio alivyotolewa? Hata Samia atakalishwa akienda sivyo!
Tulia wewe watu wafanye Kazi,nyie ndio wajinga ambao uwezo hamna ila mnataka 50/50 ambayo haitakaa uwepoHayo makampuni yalirudi nyuma baada ya JPM kufuta makubaliano ya awali na kutaka waanze upya kwa sharti la kwamba kila kampuni lije kwenye majadiliano na serikali kivyake na siyo kama Cartel. Na kwamba majadiliano yatumie sheria mpya za madini ambazo zinatuhakikishia kupata angalau 50% ya economic benefits.
Sasa huyu (kwa kweli sipendi kumtaja hata jina lake. Kwangu mimi kiongozi akikosa uzalendo nampiga chini hapo hapo) yeye kafanya hatua nne (4) ambazo kimsingi zimewafanya hawa investors kuvimba kichwa;
1. Kawaagiza members wa negotiation teams zetu wasiende "kuwatunishia misuli" hao wawekezaji maana sisi ndiyo "wahitaji'! Hapo investor yeyote mwenye akili anajua cha kufanya: kukaza. Funny
2. Kawaambia (negotiators wetu) kwamba yale ambayo investors wanataka na yako nje ya uwezo wao wayapeleke ngazi za juu yafanyiwe maamuzi. Mwenyewe kayataja, ikiwemo misamaha ya kodi! Pathetic.
3. Kamtengua mzalendo wetu namba moja kwenye sekta ya mafuta, gesi na madini; mkurugenzi wa TPDC Dr. Mataragio. Japo alimrudisha mara moja baada ya upepo kuchafuka lakini tayari alikwisha tuma ujumbe hasi kwa "watumishi wetu wazalendo" walioko ngazi za juu za maamuzi kwamba sasa hawana cover, trust, wala support kutoka juu.
Pia iliwapa nguvu investors kwa kujua kuwa tayari wana-deal na compromised government (tuki-assume kuwa hawakuwa nyuma ya hiyo kitu).
4. Kasema kuwa lazima mikataba isainiwe ndani ya miezi sita ijayo! Hivi kwa investor mwenye akili si atauma uzi kwenye terms zake, maana keshasikia sisi ndiyo wahitaji.
My take:
Hii serikali ina papara sana kwenye suala la madini. Inaonesha wapigaji (rejea ishu ya kitalu C Mererani, suala la mabilioni ya Uswisi & makampuni ya gas, nk) wamechoka kusugua benchi toka 2015 hivyo wana alosto kali na pengine wanahofia lisijekutokea la kutokea wakakosa tena.
Nawapa pole sana wale mnaoiamini hii awamu ya 6 kwenye ishu za madini na gesi. Mimi naendelea kujiuguza maumivu mapema.
Jizi under Mayanga,kwanza walituficha hadi kuona picha za nyumba yake ya kifahari mkuu wa wanyonge huku lenyewe likiiba
Yani hizi numbers zinaonesha kiasi gani mzungu ni muonga wa mambo mengi ya Africa name hajui kitu.Hivi hii list si inasema tu kiasi cha pesa ambacho mtu anatakiwa awe nacho ili ahesabike yupo ndani ya 1% ( Super Rich ndani ya population ya Nchi flani) kwa hiyo Kenya ukiwa na Usd 20,000 wewe ni mmoja wa 1% ?
Kwa hiyo mwenye Milioni arobaini na kitu Bongo ni noma Kenya[emoji23]
Au??
View attachment 1760733
View attachment 1760734
Extreme povertyWajir County
View attachment 1762887
View attachment 1762888
View attachment 1762889
View attachment 1762890
View attachment 1762891
View attachment 1762892
View attachment 1762893
View attachment 1762894
View attachment 1762895
View attachment 1762896
View attachment 1762897
View attachment 1762898
View attachment 1762900
View attachment 1762901