President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,010
- 93,371
Mzee hebu pitia na hapaTunduma -Namanga Via Rungwa ni matope tupu kuanzia Makongolosi - Rungwa -Itigi hadi Singida ..
Hii ni taarifa mbichi kabisa.
Mzee hebu pitia na hapaTunduma -Namanga Via Rungwa ni matope tupu kuanzia Makongolosi - Rungwa -Itigi hadi Singida ..
Hao akina Mdee watamchafua sana spika...iweje wanawang'ang'ania na barua walishapewa kutoka kwenye chama chao kwamba wameshafukuzwaMzee mimi naongea ukweli. Kama unaongelea issue ya viti maalum. Mwenye mamlaka ya kupitisha ni tume ya uchaguzi na siyo spika.
Issue za siasa tuziache. Ni mchezo ambao upo complex.Hao akina Mdee watamchafua sana spika...iweje wanawang'ang'ania na barua walishapewa kutoka kwenye chama chao kwamba wameshafukuzwa
Kasome vizuri boya, kila kitu hadi engine ni wao, wamepewa boost ya kupewa jina lao sababu benz ana shares pale. Changamka bro, hata trucks wanatoa, wacha hizo bus.Ila technology wamenunua ya germany akili yako imeganda au🤣🤣🤣🤣
Unakuja kwenye hoja vizur,Huo mbadala unaharibiwa na hao hao CCM, miaka 5 iliopita walihangaika sana kuwavuruga kwa kutumia mbinu zote wanazozijua,Wanasahau wote wanajenga nyumba moja!!
Tuendelee na battle letu pendwa
Alifaa kunyongwa mwiziJizi under Mayanga,kwanza walituficha hadi kuona picha za nyumba yake ya kifahari mkuu wa wanyonge huku lenyewe likiiba
Na hana haki kuwanyang'anya upinzani nafasi ya uwakilishi kwa kujaza nafasi zao na waliofukuzwa!Nadhani mama ajitenge naye tu. Maana naona kama naye anaongea ongea tu.
😀😀😀 unafkiri anapewa jina bila technology investments acha upupuKasome vizuri boya, kila kitu hadi engine ni wao, wamepewa boost ya kupewa jina lao sababu benz ana shares pale. Changamka bro, hata trucks wanatoa, wacha hizo bus.
Na huyu mbona hanyongwi 🤣🤣🤣Alifaa kunyongwa mwizi
Kumbe wawashwa na upupu wangu, angalia wee boya, Achana na mambo ya Wikipedia, angalia website yao uone ka sio wao wanaoseti kila kitu. Sio assembly point hiyo, kudadadeki! 🤣 🤣 🤣😀😀😀 unafkiri anapewa jina bila technology investments acha upupu View attachment 1764184
So umepanic tayar unafkiri unaweza invest jina la benz bila technology investments yani uharibu jina la benz kwa product za low quality nani atakubali??? Lazma kuna technology investment kutoka benz imefanyika na wanasimamia kwa ubora woteKumbe wawashwa na upupu wangu, angalia wee boya, Achana na mambo ya Wikipedia, angalia website yao uone ka sio wao wanaoseti kila kitu. Sio assembly point hiyo, kudadadeki! 🤣 🤣 🤣
Tatizo hata CCM wamekua serious utawala wa JPM ila hawajawah kua serious na unalijua hiloKama nilivyokwambia kwenye post iliyopita, hivi vyama vya upinzania Tanzania havipo kwa maslahi mapana ya taifa, ni maagents wa nchi za magharibi. Sasa, kwa sera ya maendeleo aliyokuja nayo Magufuli ni ngumu kuwaacha wawe huru, amini nakuambia.
Lazima ujiulize kwanini nchi za magharibi wanashinikiza sana mfumo wa vyama vingi Africa, unafikiri mfumo huo wanaoulazimisha kwetu ni kwa kututakia mema? HAPANA. This is specifically meant: to reach us and unseat a democratically elected president through ( competitive politics ) political strategy.
France, Uingereza, USA kuna vyama vingapi vya siasa? angalia Africa.
Who finances all these political parties, and what is(are) the motive(s) of doing that?
Nilishakwambia ukibishana na mm hakikisha akili haiwazi chakula 🤣🤣👇👇👇Kumbe wawashwa na upupu wangu, angalia wee boya, Achana na mambo ya Wikipedia, angalia website yao uone ka sio wao wanaoseti kila kitu. Sio assembly point hiyo, kudadadeki! 🤣 🤣 🤣
BharatBenz inatengeneza vifaa kulingana na utaratibu wa Benz lakini sio muundo kama za kutoka Ujerumani direct! Hizo zimetengenezwa hususan kwa ajili ya utumizi ndani ya India na walianza kuuzia mataifa ya Afrika pia kama nyinyi. So sio origanal 'made in Germany' benz ni 'made in India' BharatBenz! 🤣 🤣 🤣Nilishakwambia ukibishana na mm hakikisha akili haiwazi chakula 🤣🤣👇👇👇
View attachment 1764193![]()
Daimler unveils new BharatBenz trucks - BhartBenz: Daimler unveils new trucks for India
Talking about DICV’s strategy, Llistosella said the company was making a play for the extremely competitive mass segment. “BharatBenz is German engineering with Indian competitive pricing. We are looking at becoming a significant player in India with a double digit market share in the short...m.economictimes.com
Sijasema ni original from germany ila nimekwmabia wanatumia germany technology na wanafata quality zote za benz sasa ni sawa na kusema under license kinachokuuma ni kwamba kenya mumekosa benz bus sasa munatapatapa🤣🤣🤣🤣BharatBenz inatengeneza vifaa kulingana na utaratibu wa Benz lakini sio muundo kama za kutoka Ujerumani direct! Hizo zimetengenezwa hususan kwa ajili ya utumizi ndani ya India na walianza kuuzia mataifa ya Afrika pia kama nyinyi. So sio origanal 'made in Germany' benz ni 'made in India' BharatBenz! 🤣 🤣 🤣
Yani hadi untaje, hehe ntakuachia ID basi... 😂Sasa hivi ni kuwapiga wakenye daily. Wajue kuwa Tanzania ni baba yao. Ninaziandaa nyundo.
Namuona Kim Dawizzy anaugulia maumivu. Tumemgonga nje ndani.
Sisi ndio wababe wa mkenya.