Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 8,996
- 6,922
Kwa hiyo C to C inapitia Mtera? Original C to C transafrica highway inapitia Mbeya- Rungwa-Itigi -Singida hadi Arusha inaendelea huko Nairobi hadi Cairo1. Kwanini uzungukie Singida wakati njia ya Iringa ipo vizuri
2. Pitia hapa Tanroads uone status ya hiyo barabara.
Njia ya Iringa/Mtera ni ndefu na mountainous kuliko ya kupitia Rungwa/ Singida.Afu hii ya Rungwa ina branch pale kwenda Tabora na kuwa route fupi kutoka Mbeya kwenda kanda ya ziwa via Tabora na kwenda Arusha via Singida