Uhuru n Umoja
JF-Expert Member
- May 25, 2016
- 1,160
- 2,227
Usiongelee hayo kiongozi acha tu. Maana kinachofuata kwangu ni msiba kuanza upya.
ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜
Nahisi kuna kuyumba sana safari hii. Maana sasa kila mtu atajiona ana haki yakutuambia nini cha kufuata.
Mama anamsikiliza Kikwete. Unamsikilizaje mtu aliyefail? Miaka 10 umeme vijiji 2018, wakati Magufuli "Jembe" miaka 5 vijivi 8300. Ingemchukua Kikwete miaka 40 kufanya aliyofanya Magufuli kwenye umeme kwa miaka 5.
Vyama vya upinzani kikubwa wanafanya ni kudhoofisha serikali iiliyo madarakani. Utafanya maridhiana mpaka lini, tena upinzani kama huu wakijinga wa Lisu, Mbowe na Zitto? hawana jema na hupinga kila kitu, karibia kila jambo litataka maridhiano na wakishashtuka wewe ni legelege kama Kikwete lazima wakuendeshe.
Africa inahitaji maendeleo ya haraka sana, na sio siasa kwa sasa. Ni mjinga tu ndio anafikiri anaweza kwenda na vyote: siasa na maendeleo Africa hii.
Major opposition parties in Africa are surrogates of western imperialists, western countries have a full control of those parties.