Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ni ya kupika logically.
Stendi ya Ubungo inaletaje foleni kwa mfano, wakati bado haijakamilika?

Tatizo lenu, mkisha maliza shule na kua na degree moja or mbili mnaona mmemaliza or mnaakili.

You have to have something extra to be on par with those who perceive what is way beyond your horizons of the moment.

In his 10 years Kikwete kasambaza umeme vijiji 2000, in his 5 years Magufuli kasambaza vijiji 7500.

Ushuhuda wa nmna hii alifanyiwa Yesu akasulubiwa na Baraba mnyang'anyi akaachiwa huru. Alifanyiwa Thomas More Uingereza, alifanyiwa Saddam Hussein, alifanyiwa Gaddafi.

Ushuhuda wote huo ulitolewa na experts wa field husika. Sasa if that sio enough kwa wewe kuhoji hii ripoti, then elimu yako ni ya kununulia mchele.
Ninajua poit yako ni nini hapa. Magufuli anachafuliwa sio? Mimi sina makuu na Magufuli kwasababu jitahada kweli alikuwa nazo! Lakini si kila alilolifanya lilinipendeza. Unlike YOU mimi sio mshabiki maana ninatafakari lipi zuri na lipi baya. Transparency and honesty zilikuwa virtually non-existent kwenye uongozi wake. Kwanini sasa hivi kuna facts conflicting zile zilizokuwa zikitolewa wakati wake? Na ndio, itasema ni uongo lakini kwa nini ziwe za uongo? Kwani mimi siwezi sema kuwa zile zake nazo ni za uongo?
 
🤣🤣🤣🤣 Do you even read what you write before clicking "post reply"? So, according to your " profound intelligence," President Hassan is using the CAG to ruin every single project that the late Magufuli started because she cannot handle the workload? That's one hell of an assumption! I would gladly be willing to discuss it with you, but it's simply just CONJECTURE! Kwa nini ni ngumu kukubali kuwa kuna mambo mengi serikalini hayakuwekwa wazi hapo nyuma? Tweet niliyoleta ni fact kutoka kwenye ripoti ya CAG, wewe unaniletea tweet ya some random person ambaye simfahamu. Halafu unasema kuwa"maswala ya intelijensia yako nje ya upeo wangu". Ka-discuss hizi conspiracy theories na wenzako kwenye vijiwe vya kahawa!

Wewe ni mzito wa kufikiri, a victim of oversimplification.

Wewe ni wakupikiwa na kumeza, mwalimu wako ni muda.
 
Kiukwel mi naona mama akiiga na hilo halitakua jambo la busara kabisa, mfumo wa mwenzio katika uongozi ni ngumu ku copy paste ba ukafanikiwa..

Mama samia nenda na pess zako katika uongozi, yani apange safu zake zitakazo endana sambamba na karata zake vile atakavyozichanga wakati wa kuzichezesha..

"Mayoo udzakala mnono mdigo wa kaya"
Yaani nyie nani kawaroga, Hamwoni huyu mama ako sawa....itakuwaje dunia nzima ipo kwa lane fulani halafu nyie tz eti mnafata barabara Zenu tofauti.... tumieni akili wakati mwingine....Rais suluhu anaiongoza tz kwa njia inayo faa na ataitoa tz upumbavu ambao umekithiri mno. eti oh ngombe za kenya pigeni mnada mara oh vifaranga wa kenya wekeni moto...mara kenya wamefunga njia ...nasi tufungeni...mara oh huyu msimpe kazi maana si mtanzania...yaani upuzi mtupu....huko ni kukosa hekima...tz imejitenga sana na inafanya mambo yake kitofauti saaana na jirani zake na wakati mwingi tz huwa inakosea kwa njia inazofata...hivyo...nimeutazama uongozi wa mama huyu mheshimiwa na mkimpa support basi tz itaamka tena. Tanzania inapaswa kuwa nchi tajiri sana hapa africa kama sio uongozi mbovu AMBAO mmekuwa nao tokea enzi za jadi.
 
Kwa kifupi tu, mimi naitwa Stephen, nitaishia hapo. Pia Twitter handle yangu ni @KipepeComrade

Sisi tunalipigania hili taifa miaka mingi sana, sehemu nyingi, tulikua na wakina geza huko Skyscrapercity.com.

Hakuna Mahala nimesema "workload" or kumaanisha hivyo, hii assumption ni yako sio yangu.

Nilichojaribu kufanya ni kukukumbusha umuhimu wa kuhoji kila kitu ikiwamo hii report.

Sasa, kama wewe ni mtu wa report na ndio unaamini tu, utakua na shida mahala.

Reports za Iraq kumiliki WMD hazikuandaliwa na vijana wa kijiweni.

Aren’t you the one who sent me the tweet below?
70047E2E-6A92-4AC5-B555-E3A89A164B24.jpeg

You support the assumption that Presidents Hassan isn’t good or strong enough to carry the legacy that Magufuli started. Unaniambia kuwa kuna umuhimu wa kuhoji hii report je, uko tayari kuhoji baadhi ya facts zilizokuwa zinatolewa wakati wa Magufuli?
 
Kwa kifupi tu, mimi naitwa Stephen, nitaishia hapo. Pia Twitter handle yangu ni @KipepeComrade

Sisi tunalipigania hili taifa miaka mingi sana, sehemu nyingi, tulikua na wakina geza huko Skyscrapercity.com.

Hakuna Mahala nimesema "workload" or kumaanisha hivyo, hii assumption ni yako sio yangu.

Nilichojaribu kufanya ni kukukumbusha umuhimu wa kuhoji kila kitu ikiwamo hii report.

Sasa, kama wewe ni mtu wa report na ndio unaamini tu, utakua na
S
 
Kifo cha Magufuli pekee lilikua ni janga kubwa kuwahi kutokea kwenye Dunia yangu, unexplainable tragedy, jinsi wanavyomtweza na kumsiga naona kama naishi jehanam sababu nayapokea machungu yote haya moyoni kwangu as if ndio Magufuli mwenyewe, worst enough Magufuli Hawezi kuongea tena
Tujihurumie sisi mkuu. Kuhusu Magu, I bet yuko na pumziko la amani kabisa kwa sasa kwani ikiwa Magu hawezi kupata pumziko la amani kwa kuzingatia namna alivyoishi, basi ni ngumu sana kulipata kwa mtu mwingine. Naamini Mungu anasikia vilio vyetu na atavifanyia kazi.
 
Ninajua poit yako ni nini hapa. Magufuli anachafuliwa sio? Mimi sina makuu na Magufuli kwasababu jitahada kweli alikuwa nazo! Lakini si kila alilolifanya lilinipendeza. Unlike YOU mimi sio mshabiki maana ninatafakari lipi zuri na lipi baya. Transparency and honesty zilikuwa virtually non-existent kwenye uongozi wake. Kwanini sasa hivi kuna facts conflicting zile zilizokuwa zikitolewa wakati wake? Na ndio, itasema ni uongo lakini kwa nini ziwe za uongo? Kwani mimi siwezi sema kuwa zile zake nazo ni za uongo?

Nimekuuliza swali dogo tu. Stand ya Mbezi Luis inaletaje foleni??

Mimi sio mshabiki, but a person with an unaltered state of consciousness, that is, profound truth and profound understanding.

Magufuli kafa watu hawahoji kafaje, afe rais wa Wazungu jws style ile uone kama pangekalika.

You are too submissive, ndio maana whites call us, "Monkeys".
 
Kwa kifupi tu, mimi naitwa Stephen, nitaishia hapo. Pia Twitter handle yangu ni @KipepeComrade

Aren’t you the one who sent me the tweet below?
View attachment 1747423

You support the assumption that Presidents Hassan isn’t good or strong enough to carry the legacy that Magufuli started. Unaniambia kuwa kuna umuhimu wa kuhoji hii report je, uko tayari kuhoji baadhi ya facts zilizokuwa zinatolewa wakati wa Magufuli?

Nyie mmeungia kwenye haya mambo a bit late, ndio naona moja ya tatizo walilonalo wengi ndio maana ni easy kudandio bandwagon. You are way too submissive.

Nilipoamka tu, niliona Kagasheki akimpa Hongera Mulamula, nilijibu hivi.

Inahuzunisha sana. Jana nimeona picha moja kapiga na Hayati, machozi yakanilenga. Kristo mwenyewe alisalitiwa na mwanafunzi wake, sembuse Magu! R.I.P.

tuachane na haya wakuu.. nchi bado inatakiwa isonge mbele ..
jpil mama anaenda uganda kusaini deal la mafuta.. nadhan atapitia hukohuko kuweka jiwe la msingi la SGR lot 5

Kuzubaa unamaanisha nini wewe mavi? Sababu misamiati ya kiswahili kwenu ni changamoto, inawezekana ulikua na hoja nzuri tu ila lack of enough vocabulary failed you.
kuzubaa mavi hii ni mawazo kama yako yasiyo jua maendeleo ni nini, Yaani mmezoea uongozi mbovu hadi sasa hivi mnaona uongozi tofauti ni kama haufai.
Mama suluhu anafungua nchi , anafungua mawazo yenu, anapanua fikra zenu, na sio lazima mtu afate nyayo, nyayo mmezifata kwa miaka na hampigi hatua. nimeshasem,a mara nyingi... mna nchi kubwa, yenye rotuba, madini, idadi ya watu ipo juu lakini ka nchi kama kenya kamewashindia mbaaaaaaali, hii ni kwa sababu ya uongozi mbovu. mama anawafungulia njia za biashara ili muongeze kodi wapumbavu hamuoni, anawatoa upuzi ule wa huyu sio mtanzania hivyo msimpe hii kazi etc. PANUA MAWAZO YAKO BANA.
Na ninawaomba msijaribu kumsumbua huyu mama suluhu kwa maana yeye ndiye atakaye waletea mwangaza tanzania.
 
Yani mambo yote yaliyofanywa awamu iliyopita yameonekana ni ya hovyo, kila mahali pametolewa dosari, ss hapa km hawajitii doa wao wenyewe sijui imekaaje, nadhani wanajichimbia kaburi wao wenyewe, tatizo la nchi hii hakuna upinzani imara ila kiukweli huu ndiyo ulikuwa mwisho wa hiki chama.

Chuki mbaya sana aisee.
If your media were free and liberal to some degree, haya yote ungeyajua kitambo sana, the rot in Tz is worse than you think or know., fruits/results are evident., low life in a well endowed country in almost everything needed for survival and exponential economic growth is one.
 
Back
Top Bottom