Mwanamke mpunbavu sana yuld
Najiuliza na picture gani aliikusudia kwa kusema media zilizofungiwa zivunguliwe, ina maana zilifungwa kwa kuonewa
Mtangulizi wake alivionea na haikupaswa kufungiwa ndio maana sasa anaona wana haki kwa mujibu wa sheria kufunguliwa
Magufuli aliapa kulinda katiba na kusimamia sheria kikamilifu, zoezi ambalo yeye pia kalifanya, ina maana kulikua na sheria za JPM na sasa zimekuja zake mpya tofauti na zile zilizotia hatiani hizo media
Matukio kama haya mara nyingi hufanywa na viongozi wa upinzani wanapoingia madarakani kama ishara ya kuwapa wananchi mtazamo kwamba uongozi uliopo sio kama uliopita
Huyu mwanamke anaenda kutuingiza shimoni mazima, zilipaswa kufanyika figisu mapema tuepushiwe hili zahama.