The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,485
- 98,538
Tutaleft wengi mbn kuliko kuendelea na huu upuuzi unaoendelea humu nchini kwa ss.Wakuu kwaherini tutaonana siku akipatikana kiongozi mzalendo,sioni matumaini hapa..byebye
All the best
Tutaleft wengi mbn kuliko kuendelea na huu upuuzi unaoendelea humu nchini kwa ss.Wakuu kwaherini tutaonana siku akipatikana kiongozi mzalendo,sioni matumaini hapa..byebye
All the best
Naona mfano wa Kenya umewakwaza wengi. Situmii maneno ya ajabu Bali nasema ukweli. Ukweli ni mgumu siku zote hasa kwa wale ambao hawautaki.Mkuu kama upo na mama haina shida tumeshakuelewa na hakuna atakayekupinga ila usitoe maneno ya ajabu ajabu ili tu tukubaliane na mtazamo wako, hapo ni siasa tu imechukua nafasi.
Na mimi naona Sina muda mrefu humuWakuu kwaherini tutaonana siku akipatikana kiongozi mzalendo,sioni matumaini hapa..byebye
All the best
Mbn hukuwa unaongea ukweli tangu mwanzo ina maana ulikuwa hujui?Naona mfano wa Kenya umewakwaza wengi. Situmii maneno ya ajabu Bali nasema ukweli. Ukweli ni mgumu siku zote hasa kwa wale ambao hawautaki.
😂😂😂😂 kama ndivyo nionekananyo, mwenye “roho nyepesi” basi unakosea. Roho yangu ni roho yenye msimamo! Kama ninaamini kitu haijalishi wapo watu wangapi wa kunipinga! Ndivyo nilivyokuzwa. Ninaipenda Tanzania na ninaamini katika juhudi za Magufuli kuendeleza taifa hili japo sio zote! Hakuna kiongozi aliyekamilika na hata yeye Ana washauri Pia na wao sio wakamilifu. Ninayo zawadi ya critical thinking na ndiyo silaha yangu. Mimi sio bendera fuata upepo kama unavyodhani.Achana naye ana roho nyepesi, akitoka mama akija mwengine pia atabadili msimamo wake.
Kama huko mbeleni akibadilika tutarudi ila kwa sasa mh, mpaka nafikiri vibaya yaani kwa lugha ya fasihi ni hivi.Acha izo hata hakujapambazuka ushatandika kitanda, tumpe nusu mwaka maza
Ok, congratulationskama ndivyo nionekananyo, mwenye “roho nyepesi” basi unakosea. Roho yangu ni roho yenye msimamo! Kama ninaamini kitu haijalishi wapo watu wangapi wa kunipinga! Ndivyo nilivyokuzwa. Ninaipenda Tanzania na ninaamini katika juhudi za Magufuli kuendeleza taifa hili japo sio zote! Hakuna kiongozi aliyekamilika na hata yeye Ana washauri Pia na wao sio wakamilifu. Ninayo zawadi ya critical thinking na ndiyo silaha yangu. Mimi sio bendera fuata upepo kama unavyodhani.


Kwa extent Fulani ukweli sikuujua. Na hata ukweli nilioujua sikupenda kuuongea kwasababu nilikuwa nasoma atmosphere ya huu uzi. Kabla sijachukua break kidogo kwenye huu uzi miezi michache iliyopita niliongea ukweli na wengi walinipinga. Kiukweli siwezi kubadisha mawazo ya mtu lakini muhimu ni kuwajulisha watu. Ukweli waupende wasiupende ilimradi uwepo hewani.Mbn hukuwa unaongea ukweli tangu mwanzo ina maana ulikuwa hujui?
Kwa masharti yao ya kwanza? Hell No! Unless wamefikia muafaka utakaoleta Faida kwa Tanzania.
maze unasema ukweli..najua ukweli unauma wengine wakiskia..by the way mimi hushangaa kuna baadhi ya watu wanacheka wenzao ilhali kwao kwao wako tu na hilo tatizo..Wewe hujanielewa. Mimi sikatai kwamba corruption haipo Bali nakataa upuuzi wa kuiangalia Kenya kama guide ya kutuzuia kuendelea kukomesha ufisadi. Kwamba kisa wao wanatuzidi kwenye ufisadi basi sisi Tukae na kufurahia mahala tulipo. Tunaweza kufika mbali zaidi kwenye haya mapigano. Hatukuwahi kuona ufisadi unafanyika juu serikalini hapa nyuma. Tulijihakikishia kuwa tupo vizuri lakini lately hizi siri zinazofichuliwa zinasema otherwise!
Tanzania kuna njaa sana kuliko kenya ni kwa vile tu tanzania hatuko open kama kenya😝😝Hahahaha, even tribalism the situation is the same, that Tanzania is full of tribalism like Kenya, the only difference because Kenyans speak openly about it while in Tanzania it is known to only few people involved. Stupid thinking.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Hiki kitu nimekinote hata mimi lengo ni kupoteza Jpm ili kujenga imani kwa Mama.Watajengaje wakati wameanza siasa ya kumpoteza JPM kwenye ramani ili wananchi waache mawazo naye twende pamoja na mama, Africa c mchezo aisee kila rais anakuja na yake ya kumchafua aliyepita.




















Ila muelewe alichosema kamaanisha kunahitajika interchange au flyover! Mie nilikuwa najua kutajengwa flyover au interchange kuingia highway, sasa nashaangaa kama haikupangwa!Eti Magufuli stand itasababisha foleni kwamba haikuzingatia ujenzi wa barabara ya kimara-kibaha
Na kwamba bwawa la JNHP linajengwa kwa hesabu za kizamani za 70s
Kwahiyo ilani yao waliyoitengeneza wenyewe leo wanaikosoa, kwahiyo mapesa yote yaliyozama pale tumeyatupa tu tuanze upya
Yani kiukweli mambo mengine hata wapinzani wanashangaa, hakuna jema lililofanywa awamu iliyopita, kesho tutaambiwa mradi wa sgr hauna tija mana tayari spika anasema ilipaswa utegemee ujenzi wa Bagamoyo port
Wallahi Africa ni shit hole.