Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

J-10 fighter zinategemea kitua nchini. Kwa habari za chini chini zipo kama 6 hivi. Tusubiri kidogo.
images (2).jpeg
 
Rwanda ipo sawa na Kenya kwenye Rail network alafu Rwanda ameizidi Ethiopia, huwa akili zao ndogo sn wakitengeneza hivyo vi report vyao wanasahau kutumia logic tu ili at least uongo uende mbali, alafu na haya majinga yanayopost humu huwa yakikuta tu yanachukua pasipo ku reason ili mradi tu report ioneshe Kenya imeizidi Tz.

Mkoloni aliondoka na akili zao ndio maana hawana uwezo wa ku reason hata kidogo.
 
Rwanda ipo sawa na Kenya kwenye Rail network alafu Rwanda ameizidi Ethiopia, huwa akili zao ndogo sn wakitengeneza hivyo vi report vyao wanasahau kutumia logic tu ili at least uongo uende mbali, alafu na haya majinga yanayopost humu huwa yakikuta tu yanachukua pasipo ku reason ili mradi tu report ioneshe Kenya imeizidi Tz.
Rwanda sijui ata kama wana railway network ,kwa afrika mashariki sisi ndio baba lao

Nimemsikiliza Rais yupo live sasa hivi, anasema MIRADI aliyoacha Hayati Magufuli ni urithi wetu, lazima ikasimamiwe kikamilifu ikamilike, lasivyo hatutapata radhi yake na ya Mungu.

sema mama anatumia lugha ya upole sana.. anawaambia ‘Naomba’ badala ya kucommand kufanya kazi.. kuna sehem kataja madhaifu afu anasema wakajirekebisha.. angekuwa Magu angemtoa huyo mtu/watu
 
Back
Top Bottom