Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

IMG_1617814424.007852.jpg
 
Mnachoogopa kusema ni kuwa Kenya ina matibabu bora kushinda nchi yoyote hapa Africa Mashariki. By the way sio kweli kwamba Tundu hakutibiwa Dodoma kwa sababu ya usalama. Hospitali ya kwanza ambayo Tundu Lissu alifikishwa ni hospitali ya Dodoma alipofanyiwa matibabu ya dharura ikiwemo kuongezewa damu na mambo mengine lakini ilipofahamika kwamba hali yake ilikuwa inazorota na kwamba alihitaji upasuaji wa hali ya juu ikabidi aletwe kwenye superpower wa eneo hili ili kufanyiwa upasuaji. Akakaa hospitalini kwa zaidi ya mwezi moja hadi akapona. Halafu mnakuja huku kuongea matope.
Kwahiyo km alipona Belgium alienda kufanya nn!! joto la jiwe njoo umsikilize huyu Mkunya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Watu wanakwenda mbele nyinyi munarudi nyuma miaka 30😁😁😁 alaf badae mutasema nn
In what sense. A fly over is a fly over, it serves only one purpose.

To me as long as structural Engineering is is okay, I don't see any issue with aesthetic.
 
Mnachoogopa kusema ni kuwa Kenya ina matibabu bora kushinda nchi yoyote hapa Africa Mashariki. By the way sio kweli kwamba Tundu hakutibiwa Dodoma kwa sababu ya usalama. Hospitali ya kwanza ambayo Tundu Lissu alifikishwa ni hospitali ya Dodoma alipofanyiwa matibabu ya dharura ikiwemo kuongezewa damu na mambo mengine lakini ilipofahamika kwamba hali yake ilikuwa inazorota na kwamba alihitaji upasuaji wa hali ya juu ikabidi aletwe kwenye superpower wa eneo hili ili kufanyiwa upasuaji. Akakaa hospitalini kwa zaidi ya mwezi moja hadi akapona. Halafu mnakuja huku kuongea matope.
Bro hii kesi yote ya kwanini lissu aliletwa nairobi mimi naijua, wape mda wenzako endeleeni na mada nyingine, kesho nikipata free time ntakutafutia facts kutoka kwa watu walio organize tukio zima la mwamba kuja nairobi, but kwa summary tu, tukio la lissu kuja uko ni uongo wa kisiasa, hakufuata matibabu bora kenya
 
Hahaha. Sawa tafuta muda ulete uhondo.
 
Bro hii kesi yote ya kwanini lissu aliletwa nairobi mimi naijua, wape mda wenzako endeleeni na mada nyingine, kesho nikipata free time ntakutafutia facts kutoka kwa watu walio organize tukio zima la mwamba kuja nairobi, but kwa summary tu, tukio la lissu kuja uko ni uongo wa kisiasa, hakufuata matibabu bora kenya
Tufafanulie saivi mzee watu waache kujitambaa hapa
 
Tumsikilize Tundu Lissu mwenyewe anavyozungumza kuhusu matibabu aliyopokea Kenya

Treasury is set to roll out new taxes to raise money to repay loans . An mp from central kenya has proposed daylight tax to be charged on buildings in major towns the proposed rate is 20 shillings per square foot of windows and breathing tax that will see each citizen charged 200 per year for breathing.Parliament will debate these new taxes
 
Safi naona umerudisha avatar yako, hakuna namna hiyo ndiyo utambulisho wako kwa fans wako baki na hyo hyo mana uki change avatar mtu anaweza akakupiga kijembe pasipo kujua ila akiona hyo avatar kuna mda anaweza akakuvumilia, hyo ndio faida ya avatar.
 
Back
Top Bottom