Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mama amesha haribu pakubwa sana saivi, kumruhusu CAG kutoa report kiolela hivi kiolela it's just sad... na ninahisi kashinikizwa amruhusu cag atoe taarifa. Ona sasa ni kashfa ju ya kashfa. Its like wao hiko kipindi hivyo vitu vinatokea hawakuwepo (kama ni kweli). Kwaio walitegemea Jpm afatilie kila kitu? Kazi yao ilikua ni ipi sasa? Afu saivi Magu ndo anaanza kuonekana mbaya kisa watu wachini yake hawakufanya kazi yao vzuri... yani ccm isipo angalia they are digging their own grave... yani i Can feel it. Wasizani sisi wanachi tuliompenda Jpm ni wajinga na hatuelei nini kina endelea. Na wengi wao walishinda hii awamu ya pili kisa yeye... damm

I don't think I'll ever trust Mama any more, i had benefit of doubt before lakini kwa mwendo hu huyu mama hu mziki ume mshinda.. dadili ya mvua ni mawingu na nyota njema huonekana asubuhi... kwa mnao nielewea mtajua hilo
Mimi sidhani kama anashinikizwa. She's part of all this shit. Ila usijali mkuu. Hata wafanye vipi hawawezi kubomoa legacy ya Magu. Ni mwendawazimu tu atakubaliana na upuuzi wao.
 
Naomba msione namchukia mama yenu, aliye wazaa ila naomba kurejea mambo machache hapa.

Rafiki zangu,
Haya ndio mambo makuu Raisi Magufuli aliwahi kusema " Hatukatai wawekezaji, lakini wanakuja na masharti ya kishenzi ambayo kichaa mwenyewe ndio anaweza kuyakubari " Nukuu.

Rafiki zangu,
Samia ache unafiki, asiaminishe umma wa Watanzania Kwamba wawekezaji wenye masharti ya ukicha ndio anawataka warudi kuwekeza Tanzania,

Rafiki zangu,
Magufuli alijua siku Moja tutakuja kumkumbuka huyu mama yenu anaenda zaidi akadai Kwamba wawekezaji wakija tusiwapangie waajiri watu wa aina ipi !? Yeni Mzungu aje kuwekeza Tanzania Kisha asombe wazungu kwenye malori awalate nchi kwa madai Kwamba tukuze uchimumi haya ni masharti ambayo vichaa ndio wanaweza kukubari.

Rafiki zangu,
Huyu mama yenu anadai kwamba wawekezaji wakija Tanzania wasibuguziwe yani kwa mfano kisa ni mwekezaji Tanzania isimdai kodi iwe inamnyenyekea kama malaika yani akitishia nafunga kiwanda basi tumwambie " endelea endelea kidogo" uchumi utayumba haya ndio mambo Magufuli aliwahi kusema nchi hii imechezewa sana.

Huyu mama yenu mnafiki kabisa, leo anaonesha hadharani kumbe alikuwa na Magufuli kiunafiki wala hata yale machozi na kuhema kwa shida wakati wa kutoa taalifa za msiba zilikuwa za kinafiki nasema hivi Kikwete aliyenyonya nchi na tukamwona malaika amerudi Ikulu sababu Samia kwa Kikwete ni dhaifu na haya yote ni copy ya maelezo ya Kikwete hivi unadhani Kikwete alimwingiza kamati Kuu Bure ? Yapo mengi kuitilia mashaka nchi chini ya huyu binadamu yenu...
Nikirudia ile video ya tangazo, nauona unafiki mwingi sana.
 
Then i guess we shouldn't believe any body then... kwaio ata mama samia na yeye anaweza akawa anatudanganya..CAG anaweza akawa anapika hizo repoti... si ndo hvyo? Broo stfu unaboa kiukweli.

Kwenye stendi yenyewe ya magu huja fika lakini bado ume amua kuegemea upande wa CAG...tukisema na wewe upo bias uta kata? Swali ni moja pamoja na kujua Jpm hakua mkamilifu do you belive alikua ana taka hii nchi iende pabaya? Navitu vyote hv alivyo fanya vilikua havina umuhimu kwenye hii nchi in a long run?

Yani ukiangalia ata kwenye ndege we all know kupata losses ilikua inevitable. Bado company ni mpya. Na ukijumuisha na huu ugonjwa it's worse lakikini bado watu wanajitoa ufahamu. Kwaio walitaka tusiwe na ndege? Aya wata sema tunge iekeza hiyo hela sehemu nyingine, ni sector gani magofuli hakugusa apa tanzania? Tuwe wakweli tu.

We jama angu unataka kujikuta intellect on how to receive things n how to articulate them lakini common logic na utashi ndo inayo kushinda.

Ndo tuna waita vibendera nyie. Kila kitu anacho ambiwa ye sawa tu.. hu angali outside box. Hutumi utashi ulio pewa na Mungu.
Achana nae huyo kisoda uyo aendelee kukaza fuvu
 
Me mwenyewe nguvu nilizokua nimewekeza kuchochea uzalendo na kumpambania Rais wangu na nchi yangu niilekeze tu zaidi kwenye riziki, ninaoishi nao walinijua kiwango cha uzalendo wangu kwa Tanzania yangu na Rais wangu

Msiba ulivyotokea usiku ule ilibidi wa karibu yangu wapigiane simu kwanza kujadili namna gani watanipa hizo taarifa kwa namna walivyojua ningeathirika, ila Magu kweli kaenda na uzalendo wangu kwa Tanzania yangu, Sina budi kwenda na wasaa uliopo
Mkuu usikate tamaa na uzalendo. Amini nakwambia, ukiisha kuuvaa uzalendo haukutoki kamwe.
 
Kuna wakenya washaanza kumkumbuka uko

View attachment 1747247
Tanzania lost a great leader for real. We Kenyans loved Magu with all he did against Kenya because in him true patriotism was seen. Africa is yet to have such a patriotic leader after Nelson Mandela.

Magu. What a loss in East Africa.

Apumzike easy.
 
Mimi sijali unanifikiriaje, kwamba "sina akili za ziada" ila Nikuulize swali moja tu Je, CAG report ni ya kweli au ya uongo?
Mkuu mimi ningependa unipe mwangaza nielewe kama Magu alikua fisadi alizifaidi vipi hizo pesa? au aliwafaidisha wengine kwa kuwafurahisha?
Na nikukumbushe kuwa Kikwete alipoingia Madarakani 2005 walitoa report za ufisadi wa Mkapa mara ana 5 star hotel South, alikua anajikusanyia pesa Uswiss n.k.
Sasa hapa kwa Magu kuipika hii report naona kama imekua ngumu kidogo maana jamaa alikua haendi kula bata nje n.k
 
Nyinyi ni juniour partners kwenye mradi huu. Tulizeni nyege.

Mshenzi usie na adabu! Junior partner wakati 90% of the project inapita Tanzania! Mahusiano yenu nasi ni kwenye kuwalisha kuwauzia mahindi ila biashara za maana tunafanya na walio na akili!


-1x-1.jpg

Photographer: Anita Pouchard Serra/Bloomberg
Markets

Total Is Poised to Make $5 Billion Bet on Uganda Oil Project​

By
Francois De Beaupuy
,
Fred Ojambo
, and
Paul Burkhardt
9. April 2021, 12:38 MESZ
  • Plan includes building pipeline, export terminal in Tanzania
  • Rare frontier oil project comes as most majors cut spending

LISTEN TO ARTICLE​

3:02

SHARE THIS ARTICLE​


In this article​

CL1 Commodity Quote - Generic 1st 'CL' Future

Total SE is poised to go ahead with a $5.1 billion plan to tap more than a billion barrels of Ugandan crude and ship it across east Africa by pipeline.




The project, which could get the green light within days, is a rare example of a frontier oil development at a time when most major companies are cutting spending. It would also cement the French energy giant’s position as the leading player in Africa among major international oil and gas companies, even as the company says it’s making the transition to cleaner energy.


Uganda National Oil Co. said late on Thursday that the final investment decision to build a 1,443-kilometer (897-mile) heated pipeline to transport Uganda’s waxy crude for export at the port of Tanga in Tanzania is expected to be announced on Sunday.


The development of the fields near Lake Albert in Uganda that will feed the pipe is likely to happen at the same time, said a person familiar with the matter, asking not to be named because the information isn’t public.


A spokeswoman for Total declined to comment.

Environmental Concerns​

The investment decision would put Uganda on track to become a significant oil exporter for the first time in its history. Yet the economic benefits that the development would bring are being weighed against the potential environmental costs.

Groups that oppose the project, such as Friends of the Earth France, have warned it could pollute the Lake Albert region.Total says it has taken special measures to avoid disruption from oil wells that will located in a small part of the Murchison Falls National Park.

There’s also broader concern that new oil developments run counter to the growing push to transition away from fossil fuels. Total and its peers say they support this effort and will divert spending away from petroleum to renewable energy or batteries.

Yet they are also planning for oil to play a major role in the global energy system for decades to come, and are going ahead with developments that will spew millions of tons of planet-warming carbon dioxide into the atmosphere.

Years of Delay​

Companies in Uganda and Tanzania will get an estimated $1.7 billion of work during the construction phase of the whole project, and more to come later, according to Total’s latest annual report.

The French company’s share of the investment in the oil fields and the pipeline is estimated at $5.1 billion, according to the report. Total holds 57% of the oil field licenses and a large stake in the pipeline project. Cnooc Ltd. and Uganda National Oil Co. are also partners, and Tanzania’s national oil company will also hold a stake in the pipeline.

The project will develop the Tilenga and Kingfisher discoveries near Lake Albert. Total expects production to reach a plateau of 230,000 barrels per day.

Uganda first considered the prospect of becoming an oil producer as long ago as 2006, when the first commercial discoveries were made by Tullow Oil Plc. The London-based explorer had hoped to begin exports as early as 2015, but ultimately sold its stake in the fields. Delays have plagued the development, ranging from changing the path of the pipeline to reaching an agreement with the government over tax issues.

 
Kwa kifupi tu, mimi naitwa Stephen, nitaishia hapo. Pia Twitter handle yangu ni @KipepeComrade

Sisi tunalipigania hili taifa miaka mingi sana, sehemu nyingi, tulikua na wakina geza huko Skyscrapercity.com.

Hakuna Mahala nimesema "workload" or kumaanisha hivyo, hii assumption ni yako sio yangu.

Nilichojaribu kufanya ni kukukumbusha umuhimu wa kuhoji kila kitu ikiwamo hii report.

Sasa, kama wewe ni mtu wa report na ndio unaamini tu, utakua na shida mahala.

Reports za Iraq kumiliki WMD hazikuandaliwa na vijana wa kijiweni.
Mkuu, nyakati kama hizi nakushauri usishughulike na misukule kama huo unaoujibu. Kwa mzalendo kama wewe hiki ni kipindi kigumu cha majaribu magumu. Ukiona kuna mwendawazimu anakomalia ujinga mchunie maisha yaendelee.
 
Wanajaribu kuua legacy ya Magu ila ipo siku hata wao watakaa wajicheke! Ila Magu bwana! Usikute siku zote alijua kazungukwa na mbwa mwitu. No wonder alisisitiza kumtumainia Mungu pekee. Alijua tu akitoka kuna nyang'au watatawala.
😀 Mimi nimejifunza kitu kutoka kwa Mkwere, ukiwa na hawara wa kutosha na ukawakingia kifua wapate ajira utaishi kama mfalme. Inaelekea msela anapiga show za kibabe, kuna demu moja kimada wa kigogo alikua ananiboa kinyama kwa kumsifia Mkwere kuwa handsome
 
Malazy mbona leo mnalia lia humu? Magu kachafuliwa na nani?
Umekubali kwamba Tanzania tulistahili kuzuia Magari ya Kenya kama kulipiza kisasi kwa Kenya kutangaza na kuzuia mahindi ya Tanzania?, kumbuka hizo gari za Kenya tulizozizuia kuna ambazo zinakwenda nchi za kusini mwa Africa pia, lazima tuwatie adabu

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Umekubali kwamba Tanzania tulistahili kuzuia Magari ya Kenya kama kulipiza kisasi kwa Kenya kutangaza na kuzuia mahindi ya Tanzania?, kumbuka hizo gari za Kenya tulizozizuia kuna ambazo zinakwenda nchi za kusini mwa Africa pia, lazima tuwatie adabu

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
yaani hapo ndo unaweza ona nani mbabe yaani gari za bidhaa kwenda Malawi, Zambia, Mozambique, Zimbabwe na DRC zoote zenye registration ya Kenya pigwa pin!

Najua Tony254 anaugulia maumivu! ile fedha ya mkopo ya IMF $2.5bln yoote inaenda kutumika kulipia hasara ya kufungwa mpaka wa Tanzania na Kenya!
 
🤣🤣🤣🤣 Do you even read what you write before clicking "post reply"? So, according to your " profound intelligence," President Hassan is using the CAG to ruin every single project that the late Magufuli started because she cannot handle the workload? That's one hell of an assumption! I would gladly be willing to discuss it with you, but it's simply just CONJECTURE! Kwa nini ni ngumu kukubali kuwa kuna mambo mengi serikalini hayakuwekwa wazi hapo nyuma? Tweet niliyoleta ni fact kutoka kwenye ripoti ya CAG, wewe unaniletea tweet ya some random person ambaye simfahamu. Halafu unasema kuwa"maswala ya intelijensia yako nje ya upeo wangu". Ka-discuss hizi conspiracy theories na wenzako kwenye vijiwe vya kahawa!
Hivi mkuu unakumbuka tulivokua tunasema humu ndani kuwa Raisi ajae ana kazi ngumu sana kutafuta kitu cha kufanya ili WaTZ wamuelewe? Sasa hii ndio kazi yenyewe, Ili watu wasikuone hujafanya kitu cha maana itabidi ukosoe yaliyofanywa ili utakayofanya yaonekane nayo ni ya maana aka "Wivu wa kumloga mtu badala ya kufanya bidii kumpita"
Na hii inadhihirishwa na the fact kwamba CAG kapeleka report kwenye vyombo vya habari "Silaha No.1 duniani" na unajua nani kamruhusu
 
Back
Top Bottom