Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Eti Magufuli stand itasababisha foleni kwamba haikuzingatia ujenzi wa barabara ya kimara-kibaha

Na kwamba bwawa la JNHP linajengwa kwa hesabu za kizamani za 70s

Kwahiyo ilani yao waliyoitengeneza wenyewe leo wanaikosoa, kwahiyo mapesa yote yaliyozama pale tumeyatupa tu tuanze upya

Yani kiukweli mambo mengine hata wapinzani wanashangaa, hakuna jema lililofanywa awamu iliyopita, kesho tutaambiwa mradi wa sgr hauna tija mana tayari spika anasema ilipaswa utegemee ujenzi wa Bagamoyo port

Wallahi Africa ni shit hole.
 
Wakuu humu ndani wengine naona tuna reasoning za kitoto, Magu wasn't a Saint na alikuwa na matatizo yake mengi tu na wengi wetu bdo tulimkubali/tunamkubali but tuwe waungwana na tuaknowledge kuwa mengi yamefanyika behind the scenes ambayo alipaswa kuyasuluhisha na kukubali yasemwe ili watu wayajue na yarekebishwe, waswahili wanasema mficha maradhi kifo humuumbua, sasa mlitakaje watu wabaki kimya na uozo upo unafanyika mchana kweupe?????? acheni hizo bwana tunatakiwa tujifunze kuwa hakuna kiongozi aliokamilika duniani na hapa kwa sasa tuombe mama ajaribu kuchukua hatua nzito kwa yale yte ambayo CAG ameyabainisha na sio kila mwaka anatoa reports zake ila hakuna hatua yyte inayochukuliwa
 
Wakuu humu ndani wengine naona tuna reasoning za kitoto, Magu wasn't a Saint na alikuwa na matatizo yake mengi tu na wengi wetu bdo tulimkubali/tunamkubali but tuwe waungwana na tuaknowledge kuwa mengi yamefanyika behind the scenes ambayo alipaswa kuyasuluhisha na kukubali yasemwe ili watu wayajue na yarekebishwe, waswahili wanasema mficha maradhi kifo humuumbua, sasa mlitakaje watu wabaki kimya na uozo upo unafanyika mchana kweupe?????? acheni hizo bwana tunatakiwa tujifunze kuwa hakuna kiongozi aliokamilika duniani na hapa kwa sasa tuombe mama ajaribu kuchukua hatua nzito kwa yale yte ambayo CAG ameyabainisha na sio kila mwaka anatoa reports zake ila hakuna hatua yyte inayochukuliwa
Wewe ndio mwenye reason ya kitoto, ya kuamini kila ukidomacho.

Gadaffi aliuawa then kufukia mazuri aliyofanya walikuja za wizi wa fedha. Jesus alisulubiwa msalabani kwa makosa ya kutengenezewa, and so was St Thomas More.

CAG anatumika na group la wanasiasa linaloongozwa na Kikwete.

 
Yani mambo yote yaliyofanywa awamu iliyopita yameonekana ni ya hovyo, kila mahali pametolewa dosari, ss hapa km hawajitii doa wao wenyewe sijui imekaaje, nadhani wanajichimbia kaburi wao wenyewe, tatizo la nchi hii hakuna upinzani imara ila kiukweli huu ndiyo ulikuwa mwisho wa hiki chama.

Chuki mbaya sana aisee.
 
Kuna mtu alinitukana kwasababu hakutaka kusikia ukweli kuhusu kodi zilizokithiri. nilimwambia hata ukusanyaji wa kodi utapungua. Haya sasa hivi si mimi ninayeongea ni CAG.

Wewe kumbe hujui games.

Hili ni game kumchafua Marehemu, basi.

 
Kuna madudu yaliyofanyika yanawekwa wazi na CAG. Money laundering serikalini 😶

Wewe ni mmoja ya watu ambao baada ya shule ulienda tafuta or kutafutiwa kazi.

Maswala ya inteligensia yako nje ya upeo wako kaka.

Your biggest problem is, oversimplification. Unapokua na alternatives kadhaa, the simpler belongs to commonsense.

To mature intellectually, you ought to fly way above commonsense.

All the best in your journey of mental challenges.

 
Were we really less corrupt than Kenya? It’s funny because Instances of Corruption and embezzlement of public funds are always all over the news in Kenya but in TZ, these things happen in secret. No one knows except those involved! 😡 And we entertain ourselves by posting tweets about corruption in Kenya not knowing that we are not different than them. 🤡🤡🤡
Wewe unayo unayojua na unayojua ni mambo uliyosomea darasani ila kiukweli ni kuwa huna akili za ziada.

Mama anachombeza kana kwamba anajua yaliyomo kwenye CAG report.

Kaka, kulikua na kila jitihada za kumchafua marehemu tangu yuko hai, wamekamilisha walichofanya sasa, hawataki watu wahoji imekuwaje, kufanikisha hilo, wanazika legacy yake kwa kujunua report ya CAG.

Angalia nini CAG anadai kuhusu stand ya Mbezi Luis, kajichanganya pale, na yuko sahihi logically kwakua nia ilikua kuponda kila kitu, ila pale kaharibu. Mradi haujakamilika!
 
Wewe unayo unayojua na unayojua ni mambo uliyosomea darasani ila kiukweli ni kuwa huna akili za ziada.
Nimelisema kwa miaka mingi sana hapa, hili suala la akili ya ziada na kusema hapa ndipo wazungu (na sasa wachina) wanapotuzidi.

Sisi tunadhani ukiweza kuzifuata kanuni za kielimu na kufaulu vizuri basi wewe unaakili, kumbe unaweza kuwa ni robot iliyokuwa programmed kutumwa kufanya kile aliyeitengeneza kutaka ifanye , bila kukosea. Waafrika tunasafari ndefu sana, tunadanganywa ni vitu vidogo vidogo kwaajili ya kesho na kesho kutwa huku tukisahau miaka 200 ya baadae ya kuendelea kuwa watumwa.
 
Ukikuta wapinzani wanakushangilia, mpaka kutaka kukubeba, lazima urudi nyuma na kujiuliza, nimekosea wapi. Wakinuna ujue umewapiga kisawa sawa. By JPM.
Mwanamke mpunbavu sana yuld

Najiuliza na picture gani aliikusudia kwa kusema media zilizofungiwa zivunguliwe, ina maana zilifungwa kwa kuonewa

Mtangulizi wake alivionea na haikupaswa kufungiwa ndio maana sasa anaona wana haki kwa mujibu wa sheria kufunguliwa

Magufuli aliapa kulinda katiba na kusimamia sheria kikamilifu, zoezi ambalo yeye pia kalifanya, ina maana kulikua na sheria za JPM na sasa zimekuja zake mpya tofauti na zile zilizotia hatiani hizo media

Matukio kama haya mara nyingi hufanywa na viongozi wa upinzani wanapoingia madarakani kama ishara ya kuwapa wananchi mtazamo kwamba uongozi uliopo sio kama uliopita

Huyu mwanamke anaenda kutuingiza shimoni mazima, zilipaswa kufanyika figisu mapema tuepushiwe hili zahama.
 
Kumbe ndio maana wamempiga chini bashiru aisee nishalielewa picha yani kwa hali hatuwezi kuenda ata kidogo, daah
Toka lini report ya CAG ikasomwa mbele ya press?

Kikawaida huwa inaenda kusomewa bungeni, mama kaona atwist report na kuijaza sumu nyingi kisha kwa mara ya kwanza isomwe mara 2 kwenye press conference na bungeni kama kuwalisha watanzania sumu kwa wingi dhidi ya JPM
 
Back
Top Bottom