Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii ishu somalia hana chake sababu hata akishinda mahakamani sidhani kama kenya watamuachia amiliki hilo eneo la bahari. Kwa kenya ni rahisi zaidi kuidhibiti somalia kwa nguvu kuliko kufungua kesi kama hiyo dhidi ya Tanzania kudai eneo la bahari wakati alishakuwa nalo kabla. Sioni jumuiya ya kimataifa ikiwa upande wa somalia kwa maamuzi yoyote yale ambayo kenya atayachukua ukizingatia pia ni mshirika mkubwa wa marekani na uingereza ukanda huu.
 
Wacheni maneno mengi. Tazameni E-citizen kisha uilinganishe na huo utopolo wenu. dickchiller The best 007

KRA (Tax) services on the left.
View attachment 1725277

Business registration and search services on the left.
View attachment 1725281

Driving license registration services on the left
View attachment 1725283

Land search and other land related services
View attachment 1725288

Marriage services on the left
View attachment 1725278

Birth and Death certificate registration
View attachment 1725291

Tanzania kama mna online system sophisticated kama hii basi tuonyeshe otherwise mkae kimya.
Venus Star ndio hii hapa e-citizen. Tuna offer services nyingi online na pia baada ya kuapply, unaweza kulipa kwa kutumia Mpesa. Kwa hivyo unaweza kuapply hizi services zote na kuzilipia bila kutoka nyumbani.
 
Hii ishu somalia hana chake sababu hata akishinda mahakamani sidhani kama kenya watamuachia amiliki hilo eneo la bahari. Kwa kenya ni rahisi zaidi kuidhibiti somalia kwa nguvu kuliko kufungua kesi kama hiyo dhidi ya Tanzania kudai eneo la bahari wakati alishakuwa nalo kabla. Sioni jumuiya ya kimataifa ikiwa upande wa somalia kwa maamuzi yoyote yale ambayo kenya atayachukua ukizingatia pia ni mshirika mkubwa wa marekani na uingereza ukanda huu.
Good analysis lakini Watanzania watakupinga kwa sababu ya chuki yao kwa Kenya.
 
Venus Star ndio hii hapa e-citizen. Tuna offer services nyingi online na pia baada ya kuapply, unaweza kulipa kwa kutumia Mpesa. Kwa hivyo unaweza kuapply hizi services zote na kuzilipia bila kutoka nyumbani.
Sijaona, Passport, Visa, Permit
Vitu ambavyo Tanzania vomafanyika online kweni hakuna.

By the way Birth and Dirty certificate ni service integrated kwenye hospitals.
Huwezi ukasajili Dirth au Birth without verification and Validation.
 
Venus Star ndio hii hapa e-citizen. Tuna offer services nyingi online na pia baada ya kuapply, unaweza kulipa kwa kutumia Mpesa. Kwa hivyo unaweza kuapply hizi services zote na kuzilipia bila kutoka nyumbani.
Check hapa
Screenshot_20210314-204254.png
 
Kijani Ridge, TATU City

130935294_3632071993525186_4198169587361830794_o-jpg.840452

SHyXCgKh.jpg
4vZgfQth.jpg
H1V4UZSh.jpg

Wizara ya kukuza viwanda (Industrialization) imesema kulingana na takwimu zao ya makampuni yanayopanga kujenga viwanda Tatu City SEZ, Tatu city itakua na uwezo wa kuchangia hadi 10% ya uchumi wa Kenya. Viwanda 50 vipya vimejenga ndani ya miaka mitatu
GTkbpe4h.jpg
sNEJvXOh.jpg
LuXpxyRh.jpg

3Mya882h.jpg

CdblXE1h.jpg

wdehi3xh.jpg
Hii ndio kitu mumejenga zaidi ya miaka 10😆😆 yani haijafkia hata 1% of render ya tatu city au nadanganya
99927FF6-23A2-4E6A-B625-FF757D45304E.jpeg
3D82AEAE-606D-4279-BF34-577C7615EAF6.jpeg
 
Hii ishu somalia hana chake sababu hata akishinda mahakamani sidhani kama kenya watamuachia amiliki hilo eneo la bahari. Kwa kenya ni rahisi zaidi kuidhibiti somalia kwa nguvu kuliko kufungua kesi kama hiyo dhidi ya Tanzania kudai eneo la bahari wakati alishakuwa nalo kabla. Sioni jumuiya ya kimataifa ikiwa upande wa somalia kwa maamuzi yoyote yale ambayo kenya atayachukua ukizingatia pia ni mshirika mkubwa wa marekani na uingereza ukanda huu.
Wacha upumbavu kwahiyo kwavile ni rahisi Kenya kuimiliki Somalia kwahiyo unahalalisha wizi?Watu mnaongelea border ya Tanzania na Kenya as if border ya Tanzania na Mozambique ipo straight!

MOZ_TZA_web-768x562.jpg
 
Back
Top Bottom