Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,016
- 16,433
Hahaha. Wacha nikimbizane na Venus Star , yeye ndio yuko interested na debate ya teknolojia.Uache ulimbukeni sisi wengine tumekupotezea!
Hahaha. Wacha nikimbizane na Venus Star , yeye ndio yuko interested na debate ya teknolojia.Uache ulimbukeni sisi wengine tumekupotezea!
Hapo nimefuatilia mnaongelea checking PIN. So tell me where do you register the PIN!?Hakuna tofauti ya PIN na TIN. They are the same thing.
Weka hapa website yenu niweze kuomba visa.Soma upande wa kulia. Visa na passport viko hapo. Mimi mwenyewe nimeshawahi kuapply passport kutumia hii website.
Mombasa zinakuja 3 ila si moja kama Dar.So, East Africa zitakuwepo 3level interchanges mbili tu moja na ya kwanza ikiwa Dar na nyingine Mombasa au sio![]()
2022 itasemekana "tumepika data" coz of the gap., what is happening, am watching...Kijani Ridge, TATU City
![]()
![]()
![]()
![]()
Wizara ya kukuza viwanda (Industrialization) imesema kulingana na takwimu zao ya makampuni yanayopanga kujenga viwanda Tatu City SEZ, Tatu city itakua na uwezo wa kuchangia hadi 10% ya uchumi wa Kenya. Viwanda 50 vipya vimejenga ndani ya miaka mitatu
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Zinakuja ziko wapi ?? Na zitakuja lini ?? Kwani likoni bridge tuliambiwa inakuja leo miaka 40Mombasa zinakuja 3 ila si moja kama Dar.
Eti zinakuja na hazionekani 🤣🤣🤣 mwengine anakwambua wanajenga bridge lakini cha ajabu hatuoneshi mkichimba bahariniMombasa zinakuja 3 ila si moja kama Dar.
Wanadhani ni moja.Mama yangu, yani tatu kw mpigo aisee..
Wazee wa south wataambia nn watu
kenyanwallstreet.com
Tafuta interchange ya level tatu ukipata kenya nzima nitag na kama hakuna kwanza chukua hii picha uweke kwenye phone server yako👇👇👇👇👇Wanadhani ni moja.
Halafu, zile zinakuja Nairobi kwenye Nairobi express, Viaa duct over Langata na ingine hii ya upperhill zitakuwa ngapi mkuu??
Hahahaha, kaazi kwelikweliHahahahha wameumia sana
![]()
Tanzania's economy grew the fastest in Africa in 2020, says Citi
Tanzania is likely to emerge in the coming months as the fastest growing economy in Africa in 2020. This projection is based on data collected by Citi Researchers for Q3, […]kenyanwallstreet.com
zinajengwa usiku na mchana. usije kupata aibu kama ile ilokupata kwenye Nairobi expressway.Eti zinakuja na hazionekani 🤣🤣🤣 mwengine anakwambua wanajenga bridge lakini cha ajabu hatuoneshi mkichimba baharini
Alaf waache kumchukia magufuli 🤣🤣🤣Hahahaha, kaazi kwelikweli
Wacha upumbavu kwahiyo kwavile ni rahisi Kenya kuimiliki Somalia kwahiyo unahalalisha wizi?Watu mnaongelea border ya Tanzania na Kenya as if border ya Tanzania na Mozambique ipo straight!
![]()
Uhehehehhe kwamba tukiona tu scarveter popote tujue interchange 🤣🤣🤣 yani huo ndio ushahidi wakozinajengwa usiku na mchana. usije kupata aibu kama ile ilokupata kwenye Nairobi expressway.
View attachment 1725815
Hizo slums naziweka kwenye simu mimi???Tafuta interchange ya level tatu ukipata kenya nzima nitag na kama hakuna kwanza chukua hii picha uweke kwenye phone server yako👇👇👇👇👇
View attachment 1725814View attachment 1725816
Najua unamaumivu lakini kwa sasa vumilia soon utajifungua 😆😆😆😆😆Hizo slums naziweka kwenye simu mimi???