Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umeona mpaka gani wa majini unaokatatiza vertically, yani hapo somalia ikishinda tu itabidi na sisi tunyakue mpaka pemba.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndiyo tutawapa bila shaka, mtaunyakua tu msihofu
 
Kwa hiyo sisi tunadanganya? Na hiyo picha ni uongo basi.
Sijasema haifanyiki kabisa. Nimesema ni nadra. Kuna dhana unayojaribu kusema kwamba tabia hii kushika mabango ni common sana but sio common.
 
Tony254
Tatizo lako ushamba.
Screenshot_20210314-190045.png
 
tatizo unajiongelesha sana[emoji1787][emoji1787]

jibu ushapata ila bado unaishia kubwabwaja tu,,,,sikuelewi umekubwa na tatizo gani..?.

funguka usaidiwe
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😱
 
Back
Top Bottom