Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Changamwe interchange. Work going on at night.
IMG_20210313_213633.jpg
 
Hii ndio kitu mumejenga zaidi ya miaka 10😆😆 yani haijafkia hata 1% of render ya tatu city au nadanganya
View attachment 1725784View attachment 1725785
Tanzania mlikua pia mnapanga kujenga miji mipya kama hio TATU City, iko wapi hivi? Hivi unajua ni nchi ngapi Africa zishawai kutangaza mipango ya kujenga city kama hizi na hazijawahi kujengwa?

Hivi unajua hata kabla ikamilike TATU city tayari inashikilia taji la kua the largest Industial zone in East Africa???

1615745316015.png

Miaka kumi ni mda mchachce sana kujenga a whole new city kwa shamba ambalo lilikua limejaa kahawa, Hebu nionyeshe project kama hii ambayo mmeweza kufanyisha ndani ya miaka kumi kabla uanze kucheka wenzako..

C0u2Iblh.jpg

F6ymiPth.jpg

JhNwkvBh.jpg

wA4iiWrh.jpg

pcfgMMzh.jpg

CWWKjvzh.jpg

ttJJrmHh.jpg

maRwLOhh.jpg

icUhVHxh.jpg

Z33kpMHh.jpg

Alafu ukumbuke TATU city ni mji unaojengwa na hela za kibinafsi (Private investment) yani kuendelea kwakwe ni kama wawekezaji wa kibinafsi watajipeleka pale wenyewe kwa hiari yao... Kwahivyo usifikirie ni rahisi au jambo dogo kwamba hadi sasa tayari kuna viwanda zaidi ya 70!
 
We jamaa unakazwa na wasenge wenzako nini, unaleta vitu ambavyo vinajulikana tayari. Mpaka wa somalia na kenya haupo straight, kenya na tanzania haupo straight, tanzania na msumbiji haupo straight sasa hapa point yako ni nini? Mgogoro kati ya somalia na kenya bado upo mahakamani unasikilizwa ex parte, maamuzi yakiwafavor somalia maana yake kenya pia anaweza kuishtaki tanzania. Sihalalishi uonevu nakwambia uhalisia kenya hawezi kuacha hilo eneo alafu aje aishtaki tanzania kama ikitokea ameshindwa sababu haiingii akilini. Na uache kutumia kutumia hisia kama mtoto wa kike.
Somalia got independence in 1960 way ahead of u lazy asses! Original map!

kharidad3.jpg

We jamaa unakazwa na wasenge wenzako nini, unaleta vitu ambavyo vinajulikana tayari. Mpaka wa somalia na kenya haupo straight, kenya na tanzania haupo straight, tanzania na msumbiji haupo straight sasa hapa point yako ni nini? Mgogoro kati ya somalia na kenya bado upo mahakamani unasikilizwa ex parte, maamuzi yakiwafavor somalia maana yake kenya pia anaweza kuishtaki tanzania. Sihalalishi uonevu nakwambia uhalisia kenya hawezi kuacha hilo eneo alafu aje aishtaki tanzania kama ikitokea ameshindwa sababu haiingii akilini. Na uache kutumia kutumia hisia kama mtoto wa kike.
matusi si jadi yetu hapa!!
anyway unaogopa Kenya wakiishtaki tanzania?
 
Uhehehehhe kwamba tukiona tu scarveter popote tujue interchange 🤣🤣🤣 yani huo ndio ushahidi wako

nikupe ushauri kwa sasa mamabo ya three level iachie dar 😅😅😅😅
Mambo....??? Kweli bana ee, vipi lakini unajidhalilisha??? Unasema mambo kwa interchange moja msalaba??? Haina mvuto wowote???
Checki, sijakataa kwa sasa tamba na hiyo, lakini makubwa yaja, tena kwa kasi.
E4BBC14F-FCBD-441E-B606-39A56B9ECBBA.png
 
Tanzania mlikua pia mnapanga kujenga miji mipya kama hio TATU City, iko wapi hivi? Hivi unajua ni nchi ngapi Africa zishawai kutangaza mipango ya kujenga city kama hizi na hazijawahi kujengwa?

Hivi unajua hata kabla ikamilike TATU city tayari inashikilia taji la kua the largest Industial zone in East Africa???

View attachment 1725795

Miaka kumi ni mda mchachce sana kujenga a whole new city kwa shamba ambalo lilikua limejaa kahawa, Hebu nionyeshe project kama hii ambayo mmeweza kufanyisha ndani ya miaka kumi kabla uanze kucheka wenzako..

C0u2Iblh.jpg

F6ymiPth.jpg

JhNwkvBh.jpg

wA4iiWrh.jpg

pcfgMMzh.jpg

CWWKjvzh.jpg

ttJJrmHh.jpg

maRwLOhh.jpg

icUhVHxh.jpg

Z33kpMHh.jpg

Alafu ukumbuke TATU city ni mji unaojengwa na hela za kibinafsi (Private investment) yani kuendelea kwakwe ni kama wawekezaji wa kibinafsi watajipeleka pale wenyewe kwa hiari yao... Kwahivyo usifikirie ni rahisi au jambo dogo kwamba hadi sasa tayari kuna viwanda zaidi ya 70!
Nakuuliza tena bro is that even 1% of this render and i know tatu is over 13 good yrs just tel plz 🤣🤣👇👇👇👇👇
1A1C2290-6CC9-4D48-B025-5485BB3361E0.jpeg
1CA8564E-CBBB-452C-9E6F-E606F0F5A761.jpeg
 
Kijana nimekuuliza wapi mnasajili PIN. PIN is a Personal Identification Number. No sawa na Password.

When I say TIN is Tax Identification Number. Is public any one can know it but PIN is private. Ni namba ya siri.
Boss unataka kunifunza kazi yangu? Hii pin ya KRA sio sawa na ile pin ya sim card yako au ATM card yako. Huku Kenya PIN ya KRA ni number ambayo ina-identify mlipa ushuru na kila mlipa ushuru ana number yake. Na ni public. By the way haijalishi kama inaitwa PIN, TIN, ZIN, FIN AU MAEMBE. Bora ni number unique inayo identify kila tax payer.
Tazama mfano wa PIN certificate. Top right utasoma PIN number ya huyu tax payer
tawi-tax-kra-certificate-1-638.jpg
 
View attachment 1725846
So maisha yenu ni ya kishamba.
Badilikeni PIN is a Personal Identification Number.

Also nimekuuliza how do you get a PIN!?
 
Kijana nimekuuliza wapi mnasajili PIN. PIN is a Personal Identification Number. No sawa na Password.

When I say TIN is Tax Identification Number. Is public any one can know it but PIN is private. Ni namba ya siri.
PIN tunaisajili online. Kwenye website ya KRA
 
Nimekuambia unipatie link. Unanilitea verification ya PIN.
Leta kitu kama hiki:
View attachment 1725854
Boss si nilikuwekea hii link. Kwani hukusoma? Huoni mahali hapo pameandikwa "new pin registration?" Au kazi yako ni kupiga tu makelele lakini husomi kitu ninachokuwekea? Ukitaka pin mpya unabonyesha kidude kilichoandikwa "new pin registration."

ezgif.com-gif-maker (1).jpg
 
Back
Top Bottom