The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Wakenya wanawish kuwa na miradi km hii ila ndio hivyo haiwezekani tena





Wakenya wanawish kuwa na miradi km hii ila ndio hivyo haiwezekani tena





Nairobi has had a three-level interchange for over ten years now. Unless that word three-level ndio hamjui maana yakeSo, East Africa zitakuwepo 3level interchanges mbili tu moja na ya kwanza ikiwa Dar na nyingine Mombasa au sio![]()
Mzungu akisimama hivo hata sisi tusimame? Poor thinking I would say
Iko wapiNairobi has had a three-level interchange for over ten years now. Unless that word three-level ndio hamjui maana yake





Wacheni maneno mengi. Tazameni E-citizen kisha uilinganishe na huo utopolo wenu. dickchiller The best 007Amenishangaza.
Tatizo nini ? Umeshaona functinalities za hiyo system . Una user credential yoyote kwenye hiyo system ? Au unaangalia kama responsive or not halafu ndio unafanya conclusion?
Wala hamsimami, nyie mbn ni zaidi ya wazunguMzungu akisimama hivo hata sisi tusimame? Poor thinking I would say









Kuonyesha picha mbovu mbovu haina manishi tunasimama nilidhani we discusing logical and facts here??? Was it a pin down to pun down the other?Wala hamsimami, nyie mbn ni zaidi ya wazunguView attachment 1725285View attachment 1725289View attachment 1725292
Iko paleeePanganiIko wapi![]()
Onesha zako nzr nzrKuonyesha picha mbovu mbovu haina manishi tunasimama nilidhani we discusing logical and facts here??? Was it a pin down to pun down the other?






Hajawahi kosa kanisani una uhakika gani, wewe ni mke wake?Mbona haku hudhuria misa leo na hajawahi kosa kanisani?
Iko wapi![]()
Ona vile watu wamejipanga ndani hakuna mvuruganoOnesha zako nzr nzr![]()
All informal settlements in nairobi have been given a standard hospital fully equipped.. niq clap for us 🙂🙂😊
Kwa hiyo kama hajahudhuria misa ninyi wakenya inawahusu mini?, sisi huku wala hatujui kama Uhuru Kenyatta anaenda kanisani, hii inaonyesha ni kiasi gani Tanzania ilivyo na nguvu Africa nzima, hasa kwa Kenya.Mbona haku hudhuria misa leo na hajawahi kosa kanisani?