Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,888
- 103,753
Hawa ndo walivyo hata SGR yao waliipigia sana kelele kabla ya hii ya kwetu kuanza kuonyesha superiority! Saa hii hata Nairobi Terminus haitajwi tena yaani imemanuliwa chalii na Magufuli bus terminal alone!Wakenya bwana eti Mombasa tuna jambo letu jingine pale Kamata Junction, Interchange nyingine ya kibabe kbs yaja imetengwa kbs na barabara nyingine za juu ndani ya Dar es Salaam,ukiona umeandikiwa mradi wa kielelezo kaa vizuri yajayo yanafusahisha. Hii ni ripoti ya ukomo wa bajeti iliyowasilishwa juzi tu na Waziri wetu wa fedha mzee wetu Daktari Phillip Mpango.Bado naendelea kuisoma kwa umakini mkubwa.View attachment 1725433
CC: Tony254 na Capt Richie


