Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,016
- 16,434
Waafrika tumerogwa. Eti nchi masikini kabisa duniani ina concept cars na hata barabara ni mbovu ina bumps na sio expressway. Haya magari yameundwa kuendeshewa kwenye expressways za Marekani au UK au autobahn za Germany. Mahali ambapo hakuna bumps na hakuna roundabout. Hamuwezi kusomesha watoto wenu vizuri au kuwapa kazi nzuri lakini tayari mna concept cars? Waafrika aliyeturoga kafa.nyie jamaa bana 😂😂😂😂😂😂
mbona yapo mengi tuu apa dar anyway kuna costa apo nyuma imeandikwa city bus dunianzima za hivyo znapatkana tz tuu