Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nairobi hakuna sehemu kumesimama hivi
Screenshot_2021-02-22-11-57-04-1.jpg
 
Hata huna aibu kusema kuwa meli inangoja for one week. In Mombasa port meli hata haimilizi hata siku mbili ikingoja. That just shows how Dar port operations is shit.
Katika hali ya kujisifia unakosea na kujiponza, port efficiency yenu ni mbovu ndio mana meli zinajipanga kwenye maji.
Mombasa port hakuna meli inayosubiri one week ili kuberth maana ipo efficient. Sisi hatuna containers zilizopangwa kwenye terminal kama nyinyi. Container terminal yetu iko almost empty kwa sasa. Hata kuanzia last week meli inawasili na mizigo inaanza kupakuliwa straight from meli straight to the train. The only East African country ambapo mizigo inapakuliwa straight from meli to train bila kushushwa kwenye port. Apana cheza na Mombasa port.

Cc Geza Ulole
Actually you both you were focusing to reply my post without letting the message to sink in your mind.

It's not about efficiency of the port guys, ni vile meli zinakuja kwa wingi. Clearance cycle ya Dar port ni fupi kuliko mombasa. Waweza sema hapa kwa local na transit inachukua siku ngapi hapo kwenu..

Huku meli zinapishana tu, miradi yetu mingi tuna import sana materials, kuna nchi majirani nyingi sana nazo zina import materials so unaweza kuona vile bandari iko busy. Na imagine upanuzi mkubwa umefanyika na kazi ni 24hrs but still hatuwezi kuhudumia meli zote in go.

Sasa ndio mjue Dar iko na volume kubwa ya mzigo kushinda hapo msa ndio maana kuna meli zinasubiri nyingine zimalize kushusha na kupakia. Dar it's a hub, operations zake ni kubwa sio kufika tu na kushusha.
 
Ziko tatu
Sisi zetu ni nyingi hata hatuwezi kuhesabu. Infact cities na towns ndogo kama Kisumu, Nakuru na Eldoret pia zina interchange. Ila Nairobi inazo nyingi. Halafu Nairobi expressway inayojengwa itakuwa na interchanges kumi. Nyinyi mna tatu nchi nzima sisi tuna kumi kwenye barabara moja tu. Halafu Thika Road ina interchanges nyingi pia.

Cc Geza Ulole
 
Drama za kupotea na Vice President wa Zanzibar?
covid haihitaji hasira ,ni ugonjwa wakuishi nao kimachale....sasa ukiingiza drama kwenye huu ugonjwa kibongo bongo huwa hatutaki maisha ya movie ,kama ugonjwa upo upo tu kelele za nini,
watu wanasumbuliwa na magonjwa kibao na wanakufa kama kawaida tena sana tu iweje leo tupigie kelele kitu kimoja wakati yapo magonjwa kibao tu hatarishi.......
 
Wako na mbili.
Sisi zetu ni nyingi hata hatuwezi kuhesabu. Infact cities na towns ndogo kama Kisumu, Nakuru na Eldoret pia zina interchange. Ila Nairobi inazo nyingi. Halafu Nairobi expressway inayojengwa itakuwa na interchanges kumi. Nyinyi mna tatu nchi nzima sisi tuna kumi kwenye barabara moja tu. Halafu Thika Road ina interchanges nyingi pia.

Cc Geza Ulole
 
Sisi zetu ni nyingi hata hatuwezi kuhesabu. Infact cities na towns ndogo kama Kisumu, Nakuru na Eldoret pia zina interchange. Ila Nairobi inazo nyingi. Halafu Nairobi expressway inayojengwa itakuwa na interchanges kumi. Nyinyi mna tatu nchi nzima sisi tuna kumi kwenye barabara moja tu. Halafu Thika Road ina interchanges nyingi pia.

Cc Geza Ulole
Apo mmetupiga nakubali
 
Emu nijuze mzee, partnership ni mkopo sio
kuna njia nyingi sana za kupiga pesa,,naweza nikafungua kiwanda cha kofia nchini kwako na tukakubaliana kuwa silipi kodi wala chochote ndani ya miaka 50 kisha nitakukabidhi kiwanda kiwe chini yako...

ppp ni mkopo uliochangamka ,kwa sababu mwisho wa siku wa siku wananchi ndiyo wanaolipa huo mshiko...
 
Sisi zetu ni nyingi hata hatuwezi kuhesabu. Infact cities na towns ndogo kama Kisumu, Nakuru na Eldoret pia zina interchange. Ila Nairobi inazo nyingi. Halafu Nairobi expressway inayojengwa itakuwa na interchanges kumi. Nyinyi mna tatu nchi nzima sisi tuna kumi kwenye barabara moja tu. Halafu Thika Road ina interchanges nyingi pia.

Cc Geza Ulole
Zipi hizo za maana zisizohesabika? Ukitaja 10 nchi nzima natoka humu ndani!
 
Back
Top Bottom