tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Hayo maneno ya mkosajiMsalaba🤣🤣[emoji23][emoji23]
Hayo maneno ya mkosajiMsalaba🤣🤣[emoji23][emoji23]
Mrembo vp nije PM au mida yetu bado, we nambie tu saa ngp nije PM tuendelee na mambo yetu, hii maneno mbofu mbofu tuwaachie wenyewe au unasemaje [emoji7][emoji7]Mtanzania na ukweli ni kama mafuta na maji[emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Hawapatani[emoji23][emoji23][emoji23]
Nmecheka sana
Nakukazia mpk nakung'oa kudadadeki, watu humu wanashangaa kwnn nakukazia, hawajui km nisha kusearch nmeona jinsi ulivyo mrembo na ndiyo maana ntakukazia mpk uelewe mrembo teargass wallahi nakuambia sikuachi mpk unielewe.Msalaba[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
walikutisha liniTatizo hampendi kuambiwa ukweli, tena sio nynyi pekeake mpka serekali yenu ikiambiwa ukweli huaga wanakua wakali sana na vitisho juu[emoji1787][emoji1787]
Iendeshwe na umeme upi kwa mfumo gani 🤣🤣🤣🤣🤣 wakat reli yenyewe tayar imeishia machakani 😅😅😅Alitudangaya kweli ila katoa sababu za kuanzia diesel alafu ujue treni yetu inaiwezo wa kuendeshwa kw umeme pia..
Ni mda tu ndio utasema ila kwa sasa najua utapinga
Jibu zuri sana umepewa👇👇👇👇
Mtandao wa reli ndio km 300, 205km njia kuu 95km zakupishana
Kulia gani au mkiambiwa ukweli munakua wakali 🤣🤣🤣🤣🤣 sasa njia za kupishania treni hua zinajengwa bure nijibu basiHehehe!!umeanza kulialia, yani hyo imemaliza kila kitu na drone ilikua inachukua kila kitu[emoji1787][emoji1787]
Mrembo vp umesusa au [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]Msalaba[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
we ukiangalia tu hapo ipi ambayo imekaa kiswagWajuba emu tusaidieni jamani,
Hizi poles za ethiopia na tz zinatofauti gani kiurefu jamanieeView attachment 1671100View attachment 1671101
Hehehe!!umeanza kulialia, yani hyo imemaliza kila kitu na drone ilikua inachukua kila kitu[emoji1787][emoji1787]
evidence pliiiiizz wacha bra braa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] propagandist huyu hapa, Tz phase one hata kwa hiyo "pesa zetu" haikutosha[emoji23][emoji23]
[emoji23], kwa sasa all other phases mukulu amekopa,unajaribu kutubeba ujinga kama mlivyo bebwa kishenzi na CCM?[emoji23][emoji23][emoji23] na huo uchumi wenu hafifu, with a big population, more poverty loading, we can bet! your economy haina capacity ya kujisimamia wala kulipa madeni kubwa![emoji23][emoji23][emoji23] jitekenye tu kisha cheka kabisa![emoji23][emoji23]
Alafu mm nilizani ataonesha za Kenya, umeona ss ubaya wa kuzaliwa failed state, yn wananchi mnakosa confidence with ur country kabisa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]we ukiangalia tu hapo ipi ambayo imekaa kiswag
Kwahiyo we macho yako yanakuonesha hizo poles ziko sawa na hizi zetu, kwahiyo GoT imeongopa iliposema inaleta double stack wagons, hebu angalia utofauti.Mbna mnaumia sana..
Hizi hapa picha zilizopigwa kichini chini poles unazionaje..
Hapo hapapiti mizigo miwili julu jombaView attachment 1671219
Angalia urefu wa hizo bati af angalia hizo cartenary poles so contena zikiwekwa mbili kwmb zitavuka hilo bati? View attachment 1671327
Wameona haiwezekani tena kulinganisha sgr yetu na yao wameanza kuongelea suala la double stack hahahahhahaha