Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Vp kushus njia za kupishania treni hua zinajengwa bure ??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwhyo treni ya double track inahesabiwaje KM zake...
Nakuskiza mbishi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naona ungelisema ni 400km kabisa
 
This is one of the low quality wide roads in East Africa if I'm not wrong.
Nimeitumia leo iyo road...gari inatulia barabarani iko so smooth na ni wide haswa...kuna lanes mbili katikati izo zilikuwepo sikuzote sasa sijajua kama nazo watazifumua Au vp...kwa kifupi iyo barabara ni game changer iko Sawa labda sijui nn kitokee
 
Kila kitu kenya ni high quality hahaha bro jitahidi kuangalia na wakumdanganya pia
we huoni ni wendawazimu kulinganisha hio barabara na hii?
tapatalk_1610048878454.jpeg
tapatalk_1610048853883.jpeg
 
Kila kitu kenya ni high quality hahaha bro jitahidi kuangalia na wakumdanganya pia
The road is of high quality compared to anything you have in Tanzania and that's why every Tanzanian in this thread is fighting so hard to steal the pictures of Southern Bypass🤣🤣😂😂👇👇
 

Attachments

  • IMG_20210107_173905_563.JPG
    IMG_20210107_173905_563.JPG
    29.2 KB · Views: 13
Hiyo nafasi iliyobaki unamuachia nani au urembo huo, kwahiyo ndo mnataka kushindana na Tz kwenye elimu kwa arguments za kiboya km hz [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90]View attachment 1671254View attachment 1671255
Kheee!!yani hapo we huoni kabisa km unajikoroga..
Hapo yani huoni chuma ambayo imekatiza upande reli, container itapitiaje hko juu na wakati kuna chuma kimekatiza hapo katikati kw ajili ya umeme wa treni[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Acha kujiabisha wewe
 
Mbn hampendi jinsia zenu? Ss kukataa kwmb ww co demu ndo nn ss [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90]
Moderators bado hawajafika? Nimeona ukiwalilia unaitisha usaidizi kutoka kwao🤣🤣🤣😂😂😂.
 
Nimeitumia leo iyo road...gari inatulia barabarani iko so smooth na ni wide haswa...kuna lanes mbili katikati izo zilikuwepo sikuzote sasa sijajua kama nazo watazifumua Au vp...kwa kifupi iyo barabara ni game changer iko Sawa labda sijui nn kitokee
The road is ugly, I know must just be happy because it's the first you will see a six lane road in Tanzania🤣🤣😂😂
 
The road is of high quality compared to anything you have in Tanzania and that's why every Tanzanian in this thread is fighting so hard to steal the pictures of Southern Bypass🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]
Nonsense
 
Ss mchina na mturuki nani mwenye gharama, ww kichwa chako umejaza [emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]
Mchina aliataka hela nyingi ndio manake mkaachana nae na kwenda kw mturuki
 
The road is of high quality compared to anything you have in Tanzania and that's why every Tanzanian in this thread is fighting so hard to steal the pictures of Southern Bypass[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]
Mchumba vp ndo umemaind sumu.
 
Ukweli hata ninyi mnauhanya sana,mkipigwa pini vizuri mnakimbia Uzi
Heri kukimbia kuliko kukataa na kutukana. Kukimbia is a sign of acceptance lakini hiyo yenu ya matusi mimi sijaiona🤣🤣😂😂. Tanzanians wakiambiwa ukweli wanaanza matusi.
 
Mwisho wa treni kupita ni hapo kwa hicho chuma kilichokatiza kw reli[emoji1787][emoji1787]
Hko juu ni kw ajili ya secondary power supply km sijakosea
Sisi ndio wenye reli ya umeme nyie hamtawahi kuwa nayo lkn unatubishia, kwnn mnabisha kitu ambacho mnakiona kwenye TV tu?
 
Back
Top Bottom