Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Soma vizuri uelewe[emoji1787][emoji1787]
"Hapo nimesema double track"
Sasa ndio munijibu vizuri, ingelikua double track hyo treni ingelikua 400km[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Najua hapa utanengua mpka niamue kukuacha tu mwnywe
Sio kila sehemu inajengwa double track ni baadhi ya sehemu na jumla yake ni 95km
 
🤣🤣🤣🤣🤣😅😅👇nimekwambia kuelewa ni hiari sio lazima

4F6EBA81-ADC0-4683-812A-1DCC543CEFEA.jpeg
 
Sio kila sehemu inajengwa double track ni baadhi ya sehemu na jumla yake ni 95km
Hyo 95km si double track ila kw vipande vipande km vile reli zote duniani...

Sasa ndio nakuuliza tena kw mara nyngine tena, ingelikua yote ni double track kwhyo ingelikua ni 400km[emoji1787][emoji1787]
 
Ww ni mpumbavu sijapata kuona 🤣🤣🤣 haya nioneshe hapa double track👇👇
07A8CE2B-0FEE-4B99-A045-A3B2647E14AA.jpeg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji116]nimekwambia kuelewa ni hiari sio lazima

View attachment 1671366
Hehehehe!!mbona unaweweseka sana, jibu swali..
Ingelikua yote ni double track mwanzo mwisho, kwhyo hicho kipande cha dar moro kingelikua 400km[emoji1787][emoji1787]
 
Wewe Teargass hiyo sio barabara ya Kenya kichaa wewe. kwanini nimepita mara kibao hiyo barabara .en by the way I'm from tanga .nimesoma tanga,dsm,arusha en now nasoma mwanza . Google the distance Mana alaf kite uko ni lami tu . Nimepita kwenye mikoa Kama Kilimanjaro,pwani,manyara,dodoma,singida,tabora,shinyanga na juzi tu nilikua field bukoba (kagera). Na nilipita geita na chato kwakina magufuli uko kote ni lami tu sina sababu ya kukuongopea naijui tz vizuri sana kuliko watz wengi humu ndani
 
Ww ni mpumbavu sijapata kuona [emoji1787][emoji1787][emoji1787] haya nioneshe hapa double track[emoji116][emoji116]
View attachment 1671367
Sasa mimi na wewe mpumbavu ni nani, kwn intersections siku hizi hujengwa vipi..
Kando ya reli[emoji1787][emoji1787]
Intersection ni double track tu bado sema ipo vipande vipande...
Hapa leo hutoki, sgr jiwe dar moro ni 200km[emoji1787][emoji1787]
 
Hehehehe!!mbona unaweweseka sana, jibu swali..
Ingelikua yote ni double track mwanzo mwisho, kwhyo hicho kipande cha dar moro kingelikua 400km[emoji1787][emoji1787]
Nakujibu swali kwa facts 🤣🤣
Dar moro 300km
Moro singida 422km
Mwanza isaka 365km
6C578002-665C-4F3A-86C3-3510FED51BF5.jpeg
 
Sasa mimi na wewe mpumbavu ni nani, kwn intersections siku hizi hujengwa vipi..
Kando ya reli[emoji1787][emoji1787]
Intersection ni double track tu bado sema ipo vipande vipande...
Hapa leo hutoki, sgr jiwe dar moro ni 200km[emoji1787][emoji1787]
So unajengewa bure au?? 🤣🤣🤣 au zinajengwa kwa pesa kwasababu reli inalipiwa per km sasa sijui akili unaipeleka wapi ndio maana zinaingizwa kwenye hesabu per km
 
So unajengewa bure au?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787] au zinajengwa kwa pesa kwasababu reli inalipiwa per km sasa sijui akili unaipeleka wapi ndio maana zinaingizwa kwenye hesabu per km
Reli hujengwa per km, wala hakuna mahali utaambiwa pesa za intersection kando[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hilo wanalijua reli lazima iwe na intersection..
 
Reli hujengwa per km, wala hakuna mahali utaambiwa pesa za intersection kando[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hilo wanalijua reli lazima iwe na intersection..
Kama lazima iwe na intersection na inalipwa per km sasa dar to moro pamoja na intersection ni 300km ndio zinajengwa na ndio zimelipiwa na serekali ya tanzania kwa 1.2b usd sijui wapi unakwama😅😅
 
Na zote zina kua accountable kwenye sgr km usifkiri zinajengwa kama pambo mzee[emoji1787][emoji1787] zinalipiwa hzo
Sgr mombasa nairobi ni KM ngapi, leo nataka nikunyooshe[emoji1787][emoji1787]
Manke unataka kutumia mbinu za kijinga kuhusu train route length na track length
 
So unajengewa bure au?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787] au zinajengwa kwa pesa kwasababu reli inalipiwa per km sasa sijui akili unaipeleka wapi ndio maana zinaingizwa kwenye hesabu per km
Kwhyo mkijenga double track dar moro zinakua 400km[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mungu wangu...
Elimu ya kibongo hyo
 
Back
Top Bottom