The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Kuna demu kasusa humu [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Habari ya leo imewaumiza sana tena sana 🤣🤣🤣🤣Wameona haiwezekani tena kulinganisha sgr yetu na yao wameanza kuongelea suala la double stack hahahahhahaha
Hapa leo hutoki
Ila zote mbili ovyo kabisa, hata fence hazina jamaniwe ukiangalia tu hapo ipi ambayo imekaa kiswag
Kheeee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mtandao wa reli ndio km 300, 205km njia kuu 95km zakupishana
Haina haja ubishe, mda ndio utasemaIendeshwe na umeme upi kwa mfumo gani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wakat reli yenyewe tayar imeishia machakani [emoji28][emoji28][emoji28]
Waziri wenu kuulizwa pesa za covid zimetumikaje alikua mkali kweli na mimacho yake ile kisa kaambiea ukweli[emoji1787][emoji1787]walikutisha lini
Sgr dume linapiga misele mwaka wa nne huu[emoji1787][emoji1787]niwe mnyonge na nina train modern kukuzidi[emoji23][emoji23][emoji23]
hata ikae single bado ni bora 10* kuzidi hizo gallons za chang'aa.
Kwhyo container itapitia juu ya hicho chuma kilichokatiza mpka ndani ya njia ya treni[emoji1787][emoji1787]Sisi ndio wenye reli ya umeme nyie hamtawahi kuwa nayo lkn unatubishia, kwnn mnabisha kitu ambacho mnakiona kwenye TV tu?
Swali lako halima uhusiano kabisa na majibu yake kakujibu njia kuu ni 205km na njia za kupishania treni ni 95km 🤣🤣🤣🤣 mambo ya double stack yana uhusiano gani na majibu hayoKheeee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwhyo double track ingelikua 400km sio[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Maskini midanganyika
Bado katika projects zetu hyo ni moja wapo...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mda useme mara ngapi
Siwezi sikiliza wakati ukweli huu hapa[emoji1787][emoji1787]Sikiliza hapa [emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116] kuelewa ni hiari yako sio lazima
🤣🤣🤣🤣🤣Waziri wenu kuulizwa pesa za covid zimetumikaje alikua mkali kweli na mimacho yake ile kisa kaambiea ukweli[emoji1787][emoji1787]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 SGR imegeuka white elephant lakini ndii alisemaBado katika projects zetu hyo ni moja wapo...
Punguza hasira mzee
Soma vizuri uelewe[emoji1787][emoji1787]Swali lako halima uhusiano kabisa na majibu yake kakujibu njia kuu ni 205km na njia za kupishania treni ni 95km [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mambo ya double stack yana uhusiano gani na majibu hayo
Siding ways zinajengwa na nani?? 😅😅😅Siwezi sikiliza wakati ukweli huu hapa[emoji1787][emoji1787]
Anayejenga ndio anajua kila kituView attachment 1671362
Tatizo siajku quote wewe, kwhyo feelings zako peleka chooni[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]