Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbna mnaumia sana..
Hizi hapa picha zilizopigwa kichini chini poles unazionaje..
Hapo hapapiti mizigo miwili julu jombaView attachment 1671219
Ss angalia tofauti ya poles zetu [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90]
JamiiForums-714189654.jpg
 
despite them having a bigger population
I'm not surprised since huge percentage of boys and girls in Tanzania are sorcerers and witches so there is no need for building more schools.😂😂😂
 
Mchina ni contactor ukimwambia jenga european standard atajenga
Kheeee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbna basi hamkumwabia awajengee european standar kutoka phase ya kwanza...

Kubalini tu mturuki standard yake ni ya chini ndio manake akakubali mpunga mdogo..
Mchina kajitoa phase ya kwanza kisa mlikua hamna hela ya maana[emoji1787][emoji1787]
 
nyege za nini si avumilie wagons zikija? na kama design ni kuvuta mabehewa mia hata ikiwa single stack still capacity-wise tuatakua juu yao!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kheeee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbna basi hamkumwabia awajengee european standar kutoka phase ya kwanza...

Kubalini tu mturuki standard yake ni ya chini ndio manake akakubali mpunga mdogo..
Mchina kajitoa phase ya kwanza kisa mlikua hamna hela ya maana[emoji1787][emoji1787]
Ss mchina na mturuki nani mwenye gharama, ww kichwa chako umejaza [emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]
 
Vp kushus njia za kupishania treni hua zinajengwa bure ??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hehehe!!umeanza kulialia, yani hyo imemaliza kila kitu na drone ilikua inachukua kila kitu[emoji1787][emoji1787]
 
Stop with your headless excuses, you can't compare Southern Bypass with that low quality road. Alafu yeye sio mtu wa kwanza kuiba picha za Kenya. ichoboy01 pia alishaiba picha za Kenya.
Kila kitu kenya ni high quality hahaha bro jitahidi kuangalia na wakumdanganya pia
 
Back
Top Bottom