Muigai Jr
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 2,316
- 4,255
Hawa ni Manyumbu wapinga Sirikali...Hebu leta hizo flyover wanazosemea....usilete ile ya matofali pleaseBro hapo pa ku talk less and do more umedanganya[emoji23][emoji23][emoji23] mnapayuka sana! Kelele kibao kutoka kwa mukulu na uzinduzi, mawaziri, na raiya, ni muda mrefu hamjaona maendeleo bado mnashangaa shangaa! Mlianza kwa kusherehekia lift, sasa ni flyovers na ni chache bado[emoji23] wenzako wanakiri[emoji23][emoji23]
[emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1671016