komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Mbona una crop picha bana, achia bana tuone kitu chenye urefu wake bana..
Au unafikiria ni zile dwarf za kwenu..kisha usioindishe mada hapa tunaongelea height za pole wala hatuongelei hicho unachotaka kukileta






