Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wajuba emu tusaidieni jamani,
Hizi poles za ethiopia na tz zinatofauti gani kiurefu jamaniee
images.jpeg-16.jpg
images.jpeg-14.jpg
 
SGR Mombasa to Nairobi kilometers 480 mkopo wenye thamani ya GDP nzima ya Kunyaland

Tanzania saivi ina kilometres za SGR zaidi ya kilometers 1100 under construction kwa pesa zetu 😅😅😅

Na bado miradi mingine ya billions of dollars inaendelea, JPM kweli we mwanaume 🇹🇿🇹🇿🇹🇿😅
Kweli umeongea kama kichaa😂😂🤣

IMG_20210107_190709_133.JPG
 
SGR Mombasa to Nairobi kilometers 480 mkopo wenye thamani ya GDP nzima ya Kunyaland

Tanzania saivi ina kilometres za SGR zaidi ya kilometers 1100 under construction kwa pesa zetu 😅😅😅

Na bado miradi mingine ya billions of dollars inaendelea, JPM kweli we mwanaume 🇹🇿🇹🇿🇹🇿😅
😂 😂 😂 😂 😂 propagandist huyu hapa, Tz phase one hata kwa hiyo "pesa zetu" haikutosha😂😂
😂, kwa sasa all other phases mukulu amekopa,unajaribu kutubeba ujinga kama mlivyo bebwa kishenzi na CCM?😂😂😂 na huo uchumi wenu hafifu, with a big population, more poverty loading, we can bet! your economy haina capacity ya kujisimamia wala kulipa madeni kubwa!😂😂😂 jitekenye tu kisha cheka kabisa!😂😂
 
Tanzania tunajenga zaidi ya kilometres 1100 ndani ya miaka mi3 tumeajiri kwa pesa zetu na mambo yanaenda kwenye miradi mingine ya billions of dollars

Ninyi hamna mradi hata mmoja wenye thamani ya dollar billion 1 lakini wafanyakazi wana miezi 6 hawajapata hata cent 🎃🎃🎃🎃
 
Wakunya hata colleges zenye hadhi hiyo hawana
Wivu itakunyonga kaka 😛 😛 😂 😂 unatamani sana fikra zako ziwe kweli lakini haliwezekani😂😂😂, higher education ndio hata hampo kabisaaaa!!😂😂😂 anyway "dreams are valid"., keep trying tu...,
 
Tanzania tunajenga zaidi ya kilometres 1100 ndani ya miaka mi3 tumeajiri kwa pesa zetu na mambo yanaenda kwenye miradi mingine ya billions of dollars

Ninyi hamna mradi hata mmoja wenye thamani ya dollar billion 1 lakini wafanyakazi wana miezi 6 hawajapata hata cent 🎃🎃🎃🎃
Phase one imechukua muda gani?., tuanze hapa.,
 
Back
Top Bottom