Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndo yale madege mnanunua kwa mafungu mwishowe yanaanguka daily? Yn ndege moja ya Tz unapata 100 za kenya.

Btw, KQ has only 3 planes up to date after fifty beautiful years of work, pathetic [emoji3][emoji3]
KQ has more than 20 destinations outside of Kenya. ATCL has only 4.
 
Yah, mafunzo makali sn km walikula chakula chenye sumu lazima wafe, ila hiyo huwezi fananisha na hawa wezi wa mikate kule Westgate [emoji116][emoji116][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]

So your intelligence has no capacity to detect poisonous foods?[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787]. Jeshi lenu ni maembe sana[emoji23]
 
Umechange gear tena?[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]. Total number of registered planes in Tanzania are 200 of which majority ni za Kenyans[emoji1787][emoji23].

Aisee wewe ni mpumbavu kabisa.
Nimejaribu kuifuatilia hiyo link. Registration ya namba zote ni Tanzania.
Ficha upumbavu wako. Hebu weka plane yoyote yenye mamba za Kenya.
 
Tanga. Yaani ningekuwa serikali ningepiga ban hiyo aina ya mabati nchi nzima. Mabati yanayotoa kutu kirahisi yote ban! How is TBS okay with Such iron sheets? 🤔
Yeah, sielewi kwanini serikali isifike muafaka wa kupiga ban uzalishaji wa uncoated iron sheets
 
Aisee wewe ni mpumbavu kabisa.
Nimejaribu kuifuatilia hiyo link. Registration ya namba zote ni Tanzania.
Ficha upumbavu wako. Hebu weka plane yoyote yenye mamba za Kenya.
Uyo ni falamanga wa high level mm huwa naenda naye hivyo hivyo anavyotaka yeye, nimemkimbiza kwenye brt, 3level, bridges, n.k. ameamua kuchange gear ambapo nako lazima ashindwe [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Aisee wewe ni mpumbavu kabisa.
Nimejaribu kuifuatilia hiyo link. Registration ya namba zote ni Tanzania.
Ficha upumbavu wako. Hebu weka plane yoyote yenye mamba za Kenya.
Nimesema most of the planes registered in Tanzania ni ndege za Kenya. Like this one[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23].

IMG_20210102_175354_748.JPG
 
Nimesema most of the planes registered in Tanzania ni ndege za Kenya. Like this one[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23].

View attachment 1665763
Hebu ondoa utoto basi. You are nothing to do with Tanzania tafuta kazi nyingine kijana. Mamba zote ni za Tanzania Sijaona mamba ya Kenya hapo.

Unaonekana mpumbavu maana vitu viko public kila mtu anaweza click link na kuangalia. Unabisha upumbavu tu.
 
Kumbe anaogopewa na hakaguliwi ??[emoji1787][emoji1787] so kumbe jeshi lenu hua linakaguliwa na mzungu ndio maana hapo sasa nimekuelewa
hata mimi hapo nimemuelewa[emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji28][emoji28]

tukae kwa mbali chief na zomb kama huyo
 
Mkuu viongozi wa mataifa mababe ikiwemo tanzania huwa hawasafirisafiri ovyo. Angalia viongozi wa mataifa yanayojitambua kama huwa wanaenda hata hiyo mikutano ya umoja wa mataifa wanatuma wawakilishi tu.
Kiusalama ni risk, sasa wale ombaomba wanavyopiga trip, Leo China, kesho Germany, UK, USA nk
Hahahaha kama huko China kipindi kile wanapigania msaada wa kumalizia SGR yao lilienda bunge lote, Baraza la waziri lote halafu uhuru ndio alikua anawapokea huko China kisha kuwapeleka kwenye office za kuombolezea mkopo wakifikiri wakija kwa wingi mchina ndio atawasikia

Matokeo yake wameishia kucharazwa viboko kwenye nchi yao na Rais wao kuitwa monkey 🙊🙈🙉🐒🐵😂😂😂
 
Back
Top Bottom