Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jkia imeshika😝🤣🤣🤣
Screenshot_20201227-203633.png
 
pesa ya kununua hamuna kwani hushangai wabunge watanzania wanatumia V8 sahara wakat wabunge wakenya wanatumia prado
Ila kuna baadhi wamejitutumus na kununua za kwao, pia vile vile naona km ngoma drawa mbona..

Kw sababu kimishahara pia wakenya wanapokea zaidi ya wenzao
 
Kwa hivyo huyo RC wa Dar anapendelewa kushinda Ma RC wengine? Mbona yeye ana magari mazito ya kutisha kushinda hao ma RC wengine?
RC wa kili nilimuonea huruma kw kweli, lkn pia ni km hvo..
Kw sababu nakumbuka wakati wa africana cup alitumwa RC wa dar
 
Back
Top Bottom