Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hata hio range rover ni kali sana. Halafu magari kama infiniti ndio anazunguka nayo. Bwana these guyz are not serious. Si wametoka LDC juzi tu. Poverty in that country is very high hata kama wanajifanya eti wao ni matajiri. That money should be spent on other things.
Mm nimeshutuka sana regional commissioner ana range rover, BMW, Mercedes Benz, v8,infinity
 
Nilisahau na hii BMW RC
7BAC68C3-1D86-4D32-A17C-D09558AA14BC.jpeg
 
Maendeleo coni sanaa mnfaa mukuwe Kama ulaya saa hii Kama regional commissioner ana magari Kama hayo
Nyinyi ndio mulifaa muwe kama ulaya kwasababu mulivopata uhuru mukajitenga kujenga nchi wakat tanzania ikihangaika na nchi za africa kuzikomboa yani kwa kifupi maendeleo tanzania hayana hata zaidi ya 12 yrs
 
Masikini akipata matako hulia mbwata. Unajua when a poor person or country ikipata pesa kidogo tu, lazima dunia ijue. Tutaringiwa hadi tuingie chini ya meza.
Najua umeumia sana 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom