komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Kwhyo hilo hapo chini sio pullman sio, sasawaAkiluletea nitag![]()


Mumeshinda
Kwhyo hilo hapo chini sio pullman sio, sasawaAkiluletea nitag![]()


Kwani hili anatumia nani wewe kilaza niniTatizo lako icho we unamatatizo, kila kitu unaona ni malumbano..
Nimekuomba kw umakina tu utuonyeshe gari la mkulu official km vile nimekupa la kenyatta..
Ila km unaataka tuanze sijui ku post magari ya rais tafuta mwngine
Nimekuuliza swali kwani hili anatumia nani ???🤣🤣🤣 ww punga kweli wewe
Tatizo lako icho we unamatatizo, kila kitu unaona ni malumbano..
Nimekuomba kw umakina tu utuonyeshe gari la mkulu official km vile nimekupa la kenyatta..
Ila km unaataka tuanze sijui ku post magari ya rais tafuta mwngine
Kwhyo hili ndio official la magu..Kwani hili anatumia nani wewe kilaza nini
View attachment 1660724
Wakenya mmesafiria sana nyota yetu ila mwisho wenu umefika,Tatizo namba moja lilikuwa ni Cold storage facilities....Mizigo mingi tz ilikuwa ikipitia Jomo Kenyatta kwenda ulaya mwisho wa siku inahesabiwa kama ni yenu,hili limepatiwa ufumbuzi, Swissport wameexpand cold storage na kuiboresha kwa kiasi kikubwa sana,just wait and see,kuvunjika kwa ndoa yenu na KLM ni pigo jingine... Kwa taarifa yako KLM ndo kinara wa usafirishaji wa Mboga mboga,Matunda,Maua na n.k kwenda Europe...na alikuwa akiwa favor sana Wakenya kwa sababu ya hiyo ndoa.Tanzania tunahitaji kwnd nae vizuri huyu jamaa atatufaa sana jirani kaonekana ni myeyushaji tu...tupa kule.
Official ziko zaidi ya 100 anazotumia maguKwhyo hili ndio official la magu..
Ndio unijuze
😂😂😂😂😂😂Hakuna nchi maafisa wa serekali wanatumia magari ya kifahari kama tanzani na kama kuna mtu anabisha aseme hapa niende nae sawa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
SawaOfficial ziko zaidi ya 100 anazotumia magu
Kuna sehemu niliona wakenya wakimfananisha diamond na sijui mwanamziki gani sijui jina 😅😅😅😅Jamaa kasha kusanya...naona na president ameudhuriaView attachment 1660681View attachment 1660682View attachment 1660683
Endelea kujifurahisha na official cars 100 za maguNyingine hio BMW
View attachment 1660738
😅😅😅😅😅😅 👇👇👇👇Endelea kujifurahisha na official cars 100 za magu
Hakuna nchi maafisa wa serekali wanatumia magari ya kifahari kama tanzani na kama kuna mtu anabisha aseme hapa niende nae sawa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kuna sehemu niliona wakenya wakimfananisha diamond na sijui mwanamziki gani sijui jina 😅😅😅😅
Basi muambie huyo mwenzako ajifunze kuongea kiungwana kama Wabongo wenzake. Nyie Wabongo mna sifa nzuri ya kuwa na heshima na upole. Akibadilika nitam unblock.Soma hapa tony, nakusaidia kuona kilichoandikwa hata kama ume block utaona utake usitake![]()
Ya Kenyatta ni bullet proof kwa body na hata kwenye vioo. Hii pia ni bullet proof?Rc anatumia v8 2020 new model sawa na gari anayotumia kenyatta🤣🤣👇👇
View attachment 1660626