komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Hyo inaichapa mpka white house[emoji1787]Hii pekee ni nzr mara 1000 kuliko ikulu ya Kenya [emoji3][emoji3]
Hyo inaichapa mpka white house[emoji1787]Hii pekee ni nzr mara 1000 kuliko ikulu ya Kenya [emoji3][emoji3]
Alafu ikulu yenyewe ndo inaendelea kujengwa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hyo inaichapa mpka white house[emoji1787]
Navy kenzo na rosa ree hawaimbi bongo flevaMbona kuna nyimbo nyingi sana za Bongo flavor zilizochanganywa na Kiingereza? Sikiliza nyimbo za Navy Kenzo, Rosa Ree na Vanessa Mdee then utaelewa! Vipaji ni vipaji tu, kama Kenya hakuna kaa kimya!
Hili jengo naliskia toka 2016 🤣🤣🤣🤣 muna masikhara sana nyinyi kwa sasa ww post render manake hakuna progress ya maana badoHili nalo ni jitu la 44 floors ambalo limeanza kuamka. Linaitwa 88 tower. Litakuwa the second tallest residential tower in Africa. Itakuwa one of the tallest buildings in East and Central Africa. Watu wataishi hadi kwenye floor ya juu kabisa ya 44 ambapo wataweza kuona mount Kilimanjaro kutoka Nairobi.
View attachment 1659872
Kabla hamjaanza kulia kwamba nawapa renders basi ndio hizi picha zenyewe. Ujenzi wa foundation umeanza rasmi na nitakuwa nawapa updates.
View attachment 1659874View attachment 1659875
View attachment 1659880
View attachment 1659877View attachment 1659879
Hilo jengo linakaa kama bweni la shule ya upili ya saint Kayumba.Hii pekee ni nzr mara 1000 kuliko ikulu ya Kenya [emoji3][emoji3]
Huku mulatoes wamejaa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Watanzania ni whites sio[emoji1787][emoji1787]
Kweli nyie mumekaliwa na wahindi na waarabu mpka nyoteni mnatamani kuwa lightskinned
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wapi wi-fi?
Harufu ya wivu sasa 🤣🤣🤣Hilo jengo linakaa kama bweni la shule ya upili ya saint Kayumba.
Njoo nikupe toto we bwege, acha kupagawa bora usinichemshie tu..Huku mulatoes wamejaa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hamna tatizo wakinipinga maana hiyo ni maoni yangu tu.Kuna muhuni atakuja kukupinga [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kuna lile soko sijui la wapi vile nairobi vile emu nisaidie mkuu, yani copy kabisaHilo jengo linakaa kama bweni la shule ya upili ya saint Kayumba.
Tutaje sai km hukutokwa na povu humu[emoji1787]Hasira za nn dada, makasiriko pelekea uhunye[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hebu weka picha nikuoneshe tofauti[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kuna lile soko sijui la wapi vile nairobi vile emu nisaidie mkuu, yani copy kabisa
Kwa hivyo unajitia hamnazo? Nimekuwekea picha za ujenzi wa foundation halafu unasema kuwa hakuna progress?Hili jengo naliskia toka 2016 🤣🤣🤣🤣 muna masikhara sana nyinyi kwa sasa ww post render manake hakuna progress ya maana bado
Likifika ghorofa kumi atasema umuonyeshe la serikali km hilo[emoji1787][emoji1787]Kwa hivyo unajitia hamnazo? Nimekuwekea picha za ujenzi wa foundation halafu unasema kuwa hakuna progress?
That's the most sophisticated building in EA! U have no idea how that building is automated with high tech sensors!Linakaa kama bweni la sekondari.
Sina picha zake..lkn subiriaHebu weka picha nikuoneshe tofauti[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Bweni lile bwana, yani ikulu ijengwaje kizembe vile tena ya capital cityThat's the most sophisticated building in EA! U have no idea how is that building automated!
Wacha wivu wa kisenge ikulu yenu ya mkoloni iwapi? Miaka 57 ya Uhuru bado mnatumia jengo la mkoloni!Bweni lile bwana, yani ikulu ijengwaje kizembe vile tena ya capital city