joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Priority yetu kwa sasa ni kuhakikisha tunamiliki ndege nyingi za kwetu wenyewe kabla ya kuanza kuifanya Tanzania kuwa hub, hatukubali kutumia ndege za kukodisha ili kuepuka hasara kama KQ, hakuna faida yoyote ya kuufanya JNIA kuwa hub kwa kutumia ndege za kukodishaWewe unaongea kuhusu mambo ya ownership ya ndege mimi naongea kuhusu passenger numbers. KQ inaleta abiria wengi JKIA. Mtu yeyote anayepanda KQ na anaconnect flight lazima ashukie JKIA ili afanye connection to the next flight. Atcl ina mipango gani ya kufanya Dar airport iwe transportation hub ambapo abiria watakuwa wanafanya connection of flights kama inavyofanyika JKIA na Bole? Sawa mnamiliki 100% ya ndege zenu ila mkulima amezizuia kuruka angani. Sasa ina faida gani kumiliki 100% kama huwezi kuzitumia?






