Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya is the number in Africa in avocados production
Also flowers we lead in Africa
Wakenya mmesafiria sana nyota yetu ila mwisho wenu umefika,Tatizo namba moja lilikuwa ni Cold storage facilities....Mizigo mingi tz ilikuwa ikipitia Jomo Kenyatta kwenda ulaya mwisho wa siku inahesabiwa kama ni yenu,hili limepatiwa ufumbuzi, Swissport wameexpand cold storage na kuiboresha kwa kiasi kikubwa sana,just wait and see,kuvunjika kwa ndoa yenu na KLM ni pigo jingine... Kwa taarifa yako KLM ndo kinara wa usafirishaji wa Mboga mboga,Matunda,Maua na n.k kwenda Europe...na alikuwa akiwa favor sana Wakenya kwa sababu ya hiyo ndoa.Tanzania tunahitaji kwnd nae vizuri huyu jamaa atatufaa sana jirani kaonekana ni myeyushaji tu...tupa kule.
 
Mi nataka gari lake official km vile hili la kenyatta..
Mercede benz-pullman s600 guard
images.jpeg-35.jpg
 
Narudia tena in east and central Africa Kenyan companies dominate
Tanzania pekee iko na 529 Kenyan companies maswali mengi muulize magufuli
 
Back
Top Bottom