Tunna05
JF-Expert Member
- Apr 23, 2019
- 243
- 526
Hiyo sio velar ni vogue
Velar toleo la nyuma nyuma basi km ni hvo
Velar toleo la nyuma nyuma basi km ni hvo
Chakula cha mgao popote pale watu watagombania, hyo haimaanishi km hyo unayempa hicho chakula hajala..Hakuna nchi isokua na maskini kwanza inabidi ufahamu ila umaskini mbaya zaidi ni ule umaskini wakukosa chakula kama ilivokua kwa wakenya watu wanauwana kwa chakula cha msaada kwa kugombani, alaf mukija hapa munasifu GDP
Mimi imenichanganya kidogo huo muundo wake jomba, manke mi najua velar ipo hiviHiyo sio velar ni vogue
Cs wenu wa afyaMie sijaona labda unionyeshe wewe
Ila Kenya hatafanywa kituHuyo mwanamke anastahili afunguliwe mashtaka ya jinai na afungwe maisha.
Kweli mkuu vogue hyo aliyotuma inakaa km vogue..Hiyo sio velar ni vogue
Hivi nikisema molo ni ya kijani hapo Kenya,inamaanisha kwamba hakuna maghorofa?Ni kijani kwa sababu mumeshindwa kujenga majumba huko.
Kweli mkuu vogue hyo aliyotuma inakaa km vogue..
Hapo icho kidogo sijui kakurupuka au ni kusudi View attachment 1660928
Wala si vogue ni hii hapa👇👇👇Kweli mkuu vogue hyo aliyotuma inakaa km vogue..
Hapo icho kidogo sijui kakurupuka au ni kusudi View attachment 1660928
Huenda hzo ndio official basi, manake hata v8 huwaona nazo pengine iwe ni za kwaoCs wenu wa afyaView attachment 1660923
But mara nyingi wanatumia prado hata magavana wenu wanatumia pradoHuenda hzo ndio official basi, manake hata v8 huwaona nazo pengine iwe ni za kwao
Gavana ni choice yako, magari yao hayahusiani na serekali kuu..But mara nyingi wanatumia prado hata magavana wenu wanatumia prado
Ok but huku mawaziri na manaibu waziri wabunge, wakurugenzi wa jiji, mayor wote v8 au nissan patrol v8 new model mpaka pia taasisi za serekali wanatumia v8 like this one STKGavana ni choice yako, magari yao hayahusiani na serekali kuu..
Wengi wanatumia v8
Duh!!wakulu wenu wanapenda sana starehe basi..Ok but huku mawaziri na manaibu waziri wabunge, wakurugenzi wa jiji, mayor wote v8 au nissan patrol v8 new model mpaka pia taasisi za serekali wanatumia v8 like this one STK
View attachment 1660948
Nilikuwa nashangaa pesa za madini huwa zinaenda wapi kumbe wakubwa wa ccm Na serikali wanakula maisha kwa kijiko kikubwaKm kuendelea RC atembelee magari km matano ya kibabe basi mko mbele sana kidunia
Iko modified for security reasonsUhuru ako na yake ila sio ya kawaida mkuu yule ni rais lazima iwe bullet proof
Acha maneno ya kanga ww🤣🤣🤣Nilikuwa nashangaa pesa za madini huwa zinaenda wapi kumbe wakubwa wa ccm Na serikali wanakula maisha kwa kijiko kikubwa