The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Hiyo ndiyo Tanzania ndugu, nchi ina pesa hii na ina mbwembwe kweli kweli nadhani mnajionea wenyewe, gari ambalo hata uhunye hawezi panda huku kwetu anatembelea RC [emoji2][emoji2][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]Ooh Haha. Mbona anaendesha magari makubwa kama infiniti. Yaani serikali yao inapoteza pesa kwa upuzi kama huo ilhali Wabongo wenyewe ni masikini wa kutupwa. Serikali yao inapaswa kutumia pesa vizuri.