Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,016
- 16,434
Sonko anasupport Ruto. Hizi ni siasa za BBI.Na kwann kaondolewa kwenye madaraka??? Jibu rahisi ni ufisadi au sio
Sonko anasupport Ruto. Hizi ni siasa za BBI.Na kwann kaondolewa kwenye madaraka??? Jibu rahisi ni ufisadi au sio
We ndio hujaelewa, manake hku pia RC tunao na hakuna siku utaona gari limeandikwa RC kw platesKwani hio wametumia nn hapo huoni imeandikwa RC dsm au hujaelewa
Siasa za BBI wakat kashaharibu jina kwa ufisadi nyinyi ni nchi ya aina gani munaanza siasa miaka miwili kabla ya uchaguzi ??? Hayo maendeleo munafanya wakat ganiSonko anasupport Ruto. Hizi ni siasa za BBI.
Mbona basi mnawafukuza wakinunua v8 .Gari za kifakhari ni kitu cha kawaida sana ikiwa mkurugenzi wa jiji anatumia v8 unshangaa nn nyie kwenu mbunge anatumia prado [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tangu lini Infiniti ikawa ni gari la kawaida? Halafu hio range rover aina hio hata huwezi kupata mbunge yeyote Kenya nayo.Gari za kifakhari ni kitu cha kawaida sana ikiwa mkurugenzi wa jiji anatumia v8 unshangaa nn nyie kwenu mbunge anatumia prado 🤣🤣🤣
Huku RC ana cheyo kama gavana wenu ndio anakua kama rais wa mkoa mzimaWe ndio hujaelewa, manake hku pia RC tunao na hakuna siku utaona gari limeandikwa RC kw plates
Wanasiasa wanapiga siasa, wananchi wanafanya kazi.Siasa za BBI wakat kashaharibu jina kwa ufisadi nyinyi ni nchi ya aina gani munaanza siasa miaka miwili kabla ya uchaguzi ??? Hayo maendeleo munafanya wakat gani
Mm nimeshangaa sanaa yani regional commissioner wa Tanzania anaendesha magari mazito kuliko rais wa Kenya wakati regional coordinator wa Kenya wana Land RoverOoh Haha. Mbona anaendesha magari makubwa kama infiniti. Yaani serikali yao inapoteza pesa kwa upuzi kama huo ilhali Wabongo wenyewe ni masikini wa kutupwa. Serikali yao inapaswa kutumia pesa vizuri.
Sio tunawafukuza kosa waliofanya wanatakiwa watumie v8 za kawaida wao wameenda kununu V8 sahara inakua expensive zaidiMbona basi mnawafukuza wakinunua v8 .
Nilikutana na moja mkurugenzi atimuliwa kisa kanunua v8
pesa ya kununua hamuna kwani hushangai wabunge watanzania wanatumia V8 sahara wakat wabunge wakenya wanatumia pradoMm nimeshangaa sanaa yani regional commissioner wa Tanzania anaendesha magari mazito kuliko rais wa Kenya wakati regional coordinator wa Kenya wana Land Rover
Hakuna kitu kama hicho mzee BBI imeivuruga sana kenya mpaka inakosa muelekeo mark my wordsWanasiasa wanapiga siasa, wananchi wanafanya kazi.
Geza ni nini hiyo? Mbona hutaki kujibu.Nime-zoom si warehouse!
Hio inaitwa range rover velar 👇👇Tangu lini Infiniti ikawa ni gari la kawaida? Halafu hio range rover aina hio hata huwezi kupata mbunge yeyote Kenya nayo.
Hmmmm hapa ndio pesa za watanzania zinaishiapesa ya kununua hamuna kwani hushangai wabunge watanzania wanatumia V8 sahara wakat wabunge wakenya wanatumia prado
Mbona hushangai polisi wanatumia V8 na range rover 😅😅😅😅Mm nimeshangaa sanaa yani regional commissioner wa Tanzania anaendesha magari mazito kuliko rais wa Kenya wakati regional coordinator wa Kenya wana Land Rover
nchi yetu ni kubwa sana na miji yetu pia haiko karibukaribu 'inahitajika engine kubwa yenye uwezo wa kuamsha dar njombe njombe kigoma comfortably so hayo magari yanafaa kabisaPunguzeni maringo. Sasa Infiniti, Range rover na Toyota Prado, gari zote tatu kwa binadamu mmoja? Serikali yenu mbona inapoteza pesa kwa mambo ya kipuuzi kama hii badala ya kuivest kwenye maslahi ya wananchi wa kawaida. Hii ni tabia ya capitalist countries sio socialist countries kama yenu. Mumeanza kufuata tabia za Nigeria na Kenya.
Na maendeleo yaliofanyika huyaoni yanawatoa ushuzi leo na ni miaka 4 tu ya magufuli 😅😅😅😅Hmmmm hapa ndio pesa za watanzania zinaishia
Hata hio range rover ni kali sana. Halafu magari kama infiniti ndio anazunguka nayo. Bwana these guyz are not serious. Si wametoka LDC juzi tu. Poverty in that country is very high hata kama wanajifanya eti wao ni matajiri. That money should be spent on other things.Mm nimeshangaa sanaa yani regional commissioner wa Tanzania anaendesha magari mazito kuliko rais wa Kenya wakati regional coordinator wa Kenya wana Land Rover
Maajabu regional commissioner ana range roverHio inaitwa range rover velar 👇👇
View attachment 1660810
Wewe huoni kupea binadamu mmoja magari matatu mazito kama hayo ni kupoteza pesa ya kodi ya mwananchi?Na maendeleo yaliofanyika huyaoni yanawatoa ushuzi leo na ni miaka 4 tu ya magufuli 😅😅😅😅